From an "Upcoming novel"
SURA YA 1X
MIEZI MITATU ILIPITA tangu siku ile niliyokutana na mwanamke wa mwisho siku moja kabla ya kuamua kumpigia simu Erica na kumbembeleza anipe nafasi...
Wajibu na majukumu ya mwanamke ni kama ya mwanamume, na suala lake ni kama la mume yaani suala la haki, ujumbe na marejeo. Isitoshe, mustakbali wa kazi yoyote ni dini kwa njia moja au nyengine...
Mwanaume kuhamia kwa hawara wakati wa kutumbua maraha, ukiugua unajikongoja nyumbani kwa mkeo kuuguzwa.Kwani huyo hawara yako hajui kuchemsha supu?
Mwanaume kuja home kubadili mavazi na kuacha...
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
Nimeona watu wengi sana,kwenye thread hii,wanaongelea kuhusu mawasiliano.
Off course ni nguzo muhimu katika mahusiano,ila wengine naona wanachukulia kama mzaha..Mtu anasema anawasiliana na mwenzi...
Habari zenu wakuu wa janvi... Kimsingi bado sijapata picha kuhusu mrembo huyu. Kama ni member wa jf nitafurahi kama na yeye ata-coment, naamini nitamsoma tu kulingana na coment yake. Stori nzima...
Sources say that the Hot
Girlfriend went to the pool
without him and when she got
back things got heated up as the
dude was really Angry about the
issue....... So from the exchange of
words...
Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu...
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba...
Habari zenu wana-MMU?
Kuna kitu nataka nifahamu kuhusu hili sijui niite kasumba...
Yaani mtu(mwanaume) anawasiliana na demu kwa njia ya simu, demu anatengeneza mazingira ya mwanaume aongee zaidi...
Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo...
Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili.
...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa...
Jamani waungwana naomba msaada wenu huyu mke wangu mie simuelewi kabisa.
mwanzoni mwa mahusiano yetu alikuwa na tabia sana ya kuchunguza simu yangu na hakuwahi kugundua message yoyote mbaya...
Watu wengi hasa vijana walioko mashuleni na vyuoni wamekuwa na matarajio mengi yaliyo finyu ktk mahusiano wengine wakidhani kwamba akimaliza masoma bila kuwa na mke aliyesoma nae anajiona...
habar zenyu bana, wandugu kuna she flan nilimzimikia km miez 8 hv iliyopita, nikiwa ktk harakat za kumwonyesha namjal baada ya kutoka nae out km mara 3 hv, nilisafir kwenda mkoan nilipozaliwa...
jamani niko na ndugu yangu mmoja tulipotezana mda mrefu sana tulikua ni marafiki wa karibu sana wa kushare siri...! to make the long story short ni kwamba tumekuja kukutana mda sio mrefu...
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii...
Ikiwa zimebaki wiki chache kabla ya kuanza sikukuu mfululizo, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uwezo wake na mapenzi yake kutuacha hai mpaka siku hii ya leo tunapoelekea mwisho wa mwaka. Hakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.