Wapendwa wana JF..katika kuchagua mwenzi kila mtu ana criterias zake.Lakini inatakiwa ikumbukwe kwamba si lazima utakutana na ambae yupo totally perfect..hakuna mwanadamu kamili..ila baadhi yetu...
Nikiwa safarini hivi majuzi nimesikia kupitia BBC kuwa mkenya mmoja aishiye London Uingereza amehukumiwa kwa kumbaka mkewe. Kisa, alifanya naye mapenzi bila ridhaa ya huyo mkewe. Nikawambia...
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa...
Hivi kikwete kalaaniwa ama lah'jamani huyu babu angalia shingoni si atatufia kwenye matafrija jamani??
Hivi dar ameshindwa kuongoza kijana wapendwa loh??
habari zenu wana JF? hivi karbuni nmekua nikifuatilia sana hili jukwaa na kusoma threads zenye mafunzo kwa baadhi ya watu {nami nikiwa mmoja wao} ila nipo hapa nikiomba msaada kwa yeyote mwenye...
kwa utafiti wangu mfupi nilioufanya mawasiliano yanayotendeka kwenye simu na internet asilimia nyingi mawasiliano ya mda mrefu yanayo fanyika ni ya jinsia mbili tofauti(msichana na mvulana)
Kama wapenzi wangekuwa wanaoyeshana CV kabla ya kuona ingekuwaje?
1. Je wangefoji CV?
2. Je wangefoji uhalisia wa maisha yao?
3. Je ndoa zingekuwa zinadumu au zungekuwa zinavunjika kwa kasi...
jamani hivi unajua mara nyingi ninajiuliza hili swali nashindwa kuelewa ni kwanini wakati watu wanakua wanatokeana wanakua wanaishi life ambalo ni artificial.....! kwanini wasiwe wanaishi maisha...
Kwa wanaume mli-ooa(married) hivi kwanini baadhi yenu mkeo akipendeza mnanuna? (naongelea age mate kati ya 29-35..huko kwingine sijafikia (time will tell)
wakati mkiwa wote labda mmekaa mahali...
Katika kipindi cha miaka 12 ktk ndoa yangu nimegundua tatizo kubwa sana la mke wangu ambalo kwa ufupi ni chanzo kikubwa cha migogoro ktk ndoa yetu. Nimegundua kuwa wife wangu ni vigumu ku keep...
...most parents worst nightmare; ni pale wazazi wa binti wanapotarifiwa mtoto wao ameconceive, ni mjamzito...au hata, ameathirika kwa UKIMWI.
...achilia mbali matayarisho ya kiroho, ni mambo gani...
Unamfundisha mwanafunzi anakuambia sijaelewa, unarudia mara mbili zaidi bado hajaelewa, lakini baadae unagundua mwanafunzi huyu ni wa kike na wewe mwalimu ni mwanaume ufanyeje?
50 yrs hiyo baba
kumbuka makosa yaliokufanya uache na linganisha yaliokufanya uache na wapi unakoelekea
happy friday
usiniulize leo ijumaa kesho atuko makazini kupata pc shida
One day youre going to want that specific girl who wasn't perfect
but tried to be for you,
The girl who wanted nothing more than to love you;
The girl who sees your flaws but values them...
Mke wangu mwezi uliopita aliota ndoto. Ndoto yenyewe ni hii:-
eti alikuwa ameniudhi, kwa hasira nikamwambia utanikoma.
Nikaondoka kwa hasira, niliporudi nikarudi na nyoka mkubwa sana aina ya...
Nadhani itakua wiki moja imepita sasa tangu niulize kwenye thread fulani kama inawezekana mtu akapata adui hapa JF kwasababu binafsi bado sijaona uwezekano wa kumchukia mtu ambae sijui yukoje in...
Jana wakati natizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kulipita habari moja ya uzinduzi wa kampeni ya kuondoa unyanyasaji wa kijinsia iliyokuwa inazinduliwa na Mh. Celina Kombani. Sasa mmoja wa...
Nawashukuruni wana Jf woote kwa michango mbalimbali mnayotoa...baada ya kufatilia kwa kina juu ya michango inayotolewa na wadu mbalimbali nimeona leo na mimi nitoa langu lililo moyoni..OK, mimi...
Yaani inashangaza, kuhuzunisha, kustaajabisha na kuchekesha.
Ukiingia kwenye jukwaa hili kila siku wanaume wanalalamika juu ya wanawake wao, je ni sisi tu tunaotendwa?
Au hizi habari si za kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.