PLS BE WARNED Jamani!!! The Festive season is upon us and accidents take seconds to happen but the suffering lasts a life time. HELMETS and CONDOMS should be worn on appropriate HEADS during the...
Hello jf!nina rafiki yangu ambae kiumbo ni mrefu na mnene wa wastan,ana galfrd wake ambae ni mfupi bt nae ni mnene wa wastan!tatzo ni kwamba huyu msela wangu anataka kumpga huyu gal chini eti kisa...
1.Mke wangu ana Mimba ya Wajanja!
2.Nauza Mke Wangu!
3.Ndoto ya mke wangu imepunguza Upendo na amani!
4.Atorokwa na Mke Siku moja baada ya harusi!
5.Nimechoshwa na huyu mwanamke ..!
Kulikoni mbona...
Nina wifi angu ambaye ndo wa mwisho kwao mume wangu. Amekuja baada ya kuhitim form four. 1st time nilimuona ni binti mpole sana but baada ya wiki mambo yakabadilika. Ananuna hovyo hata cjui sababu...
Yani fb mtu kaenda mbuga za wanyama,ataandika,kapata mume mpya itaandikwa,kaachwa itaandikwa pia,mpaka kudo... wataandika sasa khaah.kule kweli kwa watoto nimeamini...naifagilia jf ipo juu..
Uzoefu unaonyesha mabinti wengi sana wanapenda kutembea na waume za watu, aidha sababu ya maslahi ama wakati mwengine kunakuwa na mapenzi ya kweli. Yani you happen to fall in love with somebody's...
Katika pita pita zangu na uzee huu nimekutana na mengi; yapo ya kusikitisha, kuchekesha na mengine ya kuudhi. Yapo mazuri na mabaya na mengine ya ukichaa kabisa. Lakini kati ya ambayo nimekutana...
Imekuwa kama kawaida kusema uongo baina ya wapendanao pasipo kujali madhara yake!Basi uvueni uongo mkaseme kweli kila mtu na jirani yake....tushike kweli katika upendo na kukua.Jirani wa kwanza ni...
Nimetembelea shule kadhaa kwa ajili ya kuzindua mradi wa chakula shuleni. Nimekuta mabinti wadogo wadogo wakiwa na pete zao za ndoa.
Hiki ni kiashirio tosha kuwa soko la walimu kwenye sekta ya...
Katika pilika zetu wanaume, huwa tunajaribu bahati zetu kwa wa dada mbalimbali.
Wengi kama siyo wote hukataa siku ya kwanza unapoingiza gia yako.
Baadhi katika kukataa hutoa majibu ya upole na...
kwa kweli naboreka sana na mwanamke anaeongea saaana....kila kitu atataka aongee wakati mwingine pumba!
sijui niiwekeje nieleweke nataka kumzungumzia mwanamke wakati gani ila kuna wanawake...
wANA MMU, Saudi Arabia law makers wanasema hawawezi kuruhusu wanawake kuendesha magari sababu wakiruhusiwa wataharibu bikira. jamani hivi kuna uhusiano gani kati ya kuendesha na preservation ya...
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto...
wakuu nimetupiwa kichanga nyumbani na kuambiwa ni cha kwangu lakini cha kushangaza ni kuwa toka nikutane na mama yake na tar alizozaliwa ni miezi 12 au 13.
pamoja na sifa kibao kuwa nimefanana na...
Ni wiki chache zimepita tangu nihamie kwenye kibanda chungu nilichojenga nje ya mji. Kwa sababu ya umbali wa ninakokaa na foleni za magari, inanilazimu kuondoka nyumbani kumi na mbili kasoro...
Mm ni msichana nina 24 yrs,last wk ndo nimekutana na cousin wangu for the 1st tym, before hatukujuana kabisa. Basi tulipojuana 2kafurah sn tukapiga story sn 2kagundua interest zinaendana sana...
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single
Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.