Juzi nilikwenda mapumziko Tanga baada ya kuchoshwa na shughuli zangu za kikazi za wikii nzima na foleni za hapa Bongo zisizo na tija! Nikiwa TA nilipata wasaa wa kumtembelea kwa mara nyingine...
Habari za asubuhi mabibi na mabwana.poleni na hongereni kwa kazi.
Jana nimehudhuria Send Off ya ndugu yangu.sherehe ilipangwa kuanza saa kumi na mbili na nusu jioni .lakini tuli lazimika kuanza...
Kila siku watu wanapendana na wengine kuachana kutokana na sababu mbalimbali...hili suala la "age mates" kupendana lina tatizo jamani?? Maana nimekuwa nikisikia watu wakili-discourage sana,kwamba...
Habari zenu waheshimiwa,nimeamua kumrudisha mke wangu kwao.
Sababu kuu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba mie ni mtu wa wanawake wengi nje,kula nyumbani ni kwa mbinde kulala nako kwa week naweza...
Najua ukikutana na wanawake 10 barabarani kati yao 9 au wote kumi wametengeneza nywele,yaani wameziondoa kwenye uhalisi wake na wanataka zifanane na za wazungu,waarabu wachina n.k,ukiwauliza...
Baada ya kujibu swali la Gaijin kwenye thread ya mzee Mtambuzi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/196999-ingependeza-kama-wanawake-wakijibu-swali-hili%85%85%85%85%85.html...
Kila mtu atakubaliana nami kwamba ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanadamu. Hili halina shaka ndani yake. Na wengine husema kwamba kama hujaoa au kuolewa, basi siku zote utahisi kuwa kuna kitu...
Welcome to Aisos
The worlds first school of practical sex. Though our courses include both history and modern sexual theory, the emphasis is on how to be a better lover. Sexual positions...
Jamani kisa hiki kimemkuta dada mmoja aliyeko ughaibuni, naomba tukisome na kukielewa.
Leo yeye, kesho wewe.
mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend
ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule...
Kama kuna wakati mgumu wakati mwingine kwa wanandoa wapya ni kuchelewa kupata mtoto. Wakati mwingine watu wanaamua kwa makusudi kutopata mtoto mara moja huku wakijitahidi kujipanga vizuri. Mgogoro...
wadau kunamdau aliwahi kupost kuwa alikuwa amempata mpenzi wake na alipodoo naye aligundua kuwa yule mwenzake hana joto yaani ni wabaridi but kuna baadhi ya watu walipost kwa kujokes bt swala hili...
Amani iwe nanyi nyoote!
Jamani,hivi ni kwanini JF mko hivi!? leo mtu analeta mada yake,wengine wanaanza kuponda kuwa ni utoto au ufinyu wa mawazo. Kesho,huyo huyo mtu aliyeponda na kukandia mada...
Yaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake...
Nimeamua kuanza kuandika series za aina mbali mbali ya jamii kama vile, syansi, elimu, mila na makabila mbalimbali yaliyopo tanzania. Hata hivyo naomba wanajf mniruhusu kufanya hivyo.
Nikipata...
Habari za wakat huu watanzania wenzangu!!!ebana,niliwahi kuwa na galfrd wangu tangu tukiwa primary bt mwaka jana mwezi wa 7 alinipga kibuti kwa kisingzio cha kwamba ,eti me ni kicheche{kitu...
Wakuu,
Nadhani itabid Tupeane Mawazo/Techniques za kuwatuliza hawa Viumbe especially wanapokuwa wame Panic au wana hasira Juu yetu, you can face this katika matukio tofauti tofauti, i think its...
nimeshindwa kuvumilia Vituko na MAJINA NAYOPEWA
kama NYOKA WA KIBISA,Sasa NAFANYA KWELI.....
NIKITOTOA NAE TU NAWEKA PICHA.
huyo wife wa jamaa si mchezo leo mudda si mmrefu amekja kuazima...
Tafiti zisizorasmi zinaonyesha hiki ni kipindi wanawake wanatongozeka kirahisi tofauti na wakati mwingine katika mwaka,so badboys na alpha man wote mliosingle huu ndio msimu wenyewe si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.