Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

@arachaga, baba mngoni,mama mchagga inabidi uanzie mbali na kimafumbo kumkosoa mpenzi wako kwa mambo ya chumbani na hasa kitandani ila kuendelea kikaa kimya wakati unapunjwa ni upuuzi pia...
4 Reactions
68 Replies
5K Views
Napenda kuwashukuru sana wadau wote walio changia mada yangu na wale ambao hawakubahatika kuchangia mnamo mwezi AGOSTI, ushauri wenu na mawazo yenu niliyazingatia na kuyafanyia kazi kwa ipasavyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Samahani wadau, ningependa kujua ni nini hasa faida ya kuwa na nyumba ndogo? Binafsi naona kama nyumba ndogo ni resource consuming in terms of muda na pesa, pia zina inconviniences nyingi kwenye...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani wana jamvi habari zenu dada zangu. pamoja wale kaka zangu ambao mmeingia hapa kwa bahati mbaya. Leo nimeona nishirikiane na ninyi kuhusu jinsi ambavyo naweza kumconnect mtu (lady) kupata a...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hivi inawezekana kwa "Wapenzi" Kuachana wakiwa bado Wanapendana? na Je ni kwanini Watu hutumia "Imani za Kishirikina" kwenye Mapenzi?!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matiti ni Mali ya nani? Matiti ni chakula cha mtoto!Linapokuja suala la matiti wanaume wengi (si wote) hunyang'anyana hati miliki ya matiti na watoto wanaonyonya hata hivyo wanawake nao kila...
0 Reactions
33 Replies
18K Views
Now I appreciate wholeheartedly when a woman say "I'm going to have my hair did"*. To keep clean, health and strong hair takes time and effort. Of all the features of a lady beside "those" others...
10 Reactions
92 Replies
8K Views
A parable is told of a farmer who owned an old mule. The mule fell into the farmer's well. The farmer heard the mule 'braying' -- or whatever mules do when they fall into wells. After...
0 Reactions
0 Replies
684 Views
Mwanangu Koku,leo nakuandikia waraka huu nikiamini utakusaidia leo na siku za usoni hata kama sitakuwepo duniani. Mwanangu,najua unatamani uwe mtu mzima ikiwezekana hata leo ili uondoke nyumbani...
24 Reactions
205 Replies
13K Views
Kwanza nianze kwa kuwasalimia Great Thinkers na naamini mtanipa ushauri wa Hekima na Busara. Mimi ni kudume ambaye kwa sasa nina mke na watoto watatu kwa ufupi niko kwenye ndoa huu mwaka wa...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Nilibahatika kusikiliza mazungumzo ya wadada fulani wakisema ati wanaume wazuri ni wale waliopata malezi ya karibu ya mama zao. Wakatoa mifano ya ni vipi waliliona hilo: Wanaume hao wanajua...
17 Reactions
361 Replies
20K Views
SONG BY GREGORY ISAACK Please give me a chance So I can make my confession Or do I was wrong? Won't you please overrule your objection And give me one chance So that I can make things up with you...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapo ingia tarehe 1.12.2011,...siku ya kwanza kabisa katika mwezi wa mwisho wa mwaka,....Umeweza kujiuliza mahusiano yako yamekuwa vipi katika mwaka huu wote? Sio lazima yawe mahusiano ya...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
mimi sio mdau wa mambo ya udaku kiviile ila katika mishe mishe zangu nilikutana na habari kwamba irene uwoya ameachana na mume wake katika sababu zake alisema hv;kwanza sijawahi kumpenda...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Ni matumaini yangu kuwa nyote muwazima na mnajiandaa na maandilizi mema ya weekend. Kwa muda mrefu sana toka nikiwa mtoto hadi nimekuwa mtu mzima sasa nimeshawahi kusikia mara nyingi sana kutoka...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Wadau naomba mnisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nachukua fursa hii kuwakumbuka ndugu, jamaa na marafiki wote waliopoteza maisha yao kutokana na janga hili la HIV-AIDS. Toka balaa hili lilipoingia Tanzania katikati ya miaka ya 80's limeleta...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
wht up jf!? poleni kwa kazi, npo mapumzkoni hapa chuga, nmekutana na mutoto nyeupe kama muzungu, nme-spend nae km cku 3 ivi, ana cm yake ya mchina anaizima kusudi pindi cpo nae, 2kikutana anaxema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana JF mara nyingi katika jamii tunamoishi tumeshuhudia ama kuhadithiwa na wakati mwingine kuona Mwanandoa fulani anaisaliti ndoa yake, unapochunguza upande wa pili unamkuta mtu huyohuyo ana mke...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom