Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Haya jamani, kwa wale vidume mnaodhani mna gundu la kupata wapenzi, kazi kwenu. Chungulia hapa uboreshe 'approach' kwa wadada: How to charm the female mind
1 Reactions
16 Replies
3K Views
nimekuwa nawauliza watu ili swali lakini sipati majibu ya kuridhisha, ninyi wana MMU mnafikirije....?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina jamaa yangu mmoja ambaye ni rafiki yangu na tumefungua ofisi (kampuni) yetu. Ameoa mke mrembo ile mbaya. Yule mke akawa ananitaka, mi nikamtolea nje. Basi akawa ananifanyia visa hadi rafiki...
3 Reactions
119 Replies
11K Views
Well, what do you expect?" Has anybody ever asked you that? Sometimes, my greatest disappointments have come because I expected something that was simply not realistic. You may know that...
0 Reactions
2 Replies
981 Views
Kuna thread moja inahusu michango ya harusi imenikumbusha mbali. Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka...
2 Reactions
127 Replies
16K Views
Kwa kuwa hakuna mwenye majibu za moja kwa moja...! Mim leo nakuja mbele ya wanajamii kuuliza.. Tena kila mtu kwa nafasi aliyonayo ndani ya jamii,yaani unaweza kuwa mzazi,mtoto au KIJANA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, nilitendwa na dada mmoja miaka mitatu iliyopita. Nilipata secondment Nigeria kikazi kwa kama miezi kumi hivi, baada ya kurudi nikamkuta na kitumbo cha miezi 3. Huyu alikuwa mtarajiwa wangu...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
"Ukimpenda mume ukamfanya afurahi basi mwisho wa siku familia yote itakuwa na furaha".Kasema bwana mmoja wakati alipoulizwa kwanini ndoa nyingi zinagubikwa na misukosuko! "Mke anatakiwa kuweka...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Neno vigonela (uwingi) au kigonela (umoja) ni la lugha ya Kihehe na maana yake (jinsi nilivyolielewa mimi) ni kukosa mahitaji fulani kwa muda mrefu.................................. Baada ya...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
A MAN hired a prostitute to come to his hotel room - and answered the door to his own daughter. Titus Ncube, a married father-of-three, collapsed to the floor with shock while his daughter, 20...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
wanayasansi toka marekani na Argentina wamefanya utafiti na umeonyesha kuwa Mtandao wa internet kwenye komputa za mkononi"Wirele7 internet" kwenye laptop,Una madhara kwa viungo vya uzazi. Timu ya...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Ndugu zangu,siku hiyo imepangwa maalamu kukumbushana namna inavyotupasa kukabiliana na janga hilo. Tanzania bila ukimwi inawezekana!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sex and the City's Carrie Bradshaw (Sarah Jessica Parker). Photograph: Henry Lamb/BEI / Rex Features furaha ya bibi ni kuwa na bwana ni ukweli wa kiasilia na wanawake ambao wamepingana nao...
1 Reactions
58 Replies
8K Views
Nimebahatika kuwa karibu na familia moja yenye mke(age 40's)+mme+watoto+wajukuu, mme ni mtu anayesafiri mara kwa mara mikoani. Ukaribu wangu kwao ukapelekea wakiface tatizo wanajaribu kuniomba...
0 Reactions
34 Replies
24K Views
Kama umeweza kuiona siku ya leo ukiwa na afya njema kwa nini usiseme asante kwa Mungu wako? Kuna watu ambao hawana uhakika wa kuendelea kuishi,yaani wamekata tamaa ya maisha. Lakini wewe...
4 Reactions
13 Replies
5K Views
"Dear God, please send clothes to all those poor naked ladies in Daddy's Cellphone, Amen."
0 Reactions
2 Replies
997 Views
Wapendwa wana jamii,hapa nilipo ni katika dilema,nina mme na watoto.Namshukuru sana Mungu kwa baraka zote alizonijaza,nilikuja kusoma ulaya nimemaliza nikapata kazi na resident permit yenye work...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
...If walls could talk!.... Picha hii inakupa ujumbe gani? Nawe badilika unapokuwa 'umelala' na mwenzio!
0 Reactions
259 Replies
26K Views
Nimeoa ninaishi na mke wangu,mama wa mke wangu amekuwa akimshinikiza mke wangu kuivunja ndoa yetu hadi ananipigia cm na kuanza kunifokea kisa eti tuligombana siku moja.Lakini mimi nimekuwa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom