Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wapendwa uvaaji wa suruali huku shati umechomekea kwenye chupi ni sahihi? Kuna brazameni mmoja nilimwona kaulamba safi ila shati kachomekea kwenye chupi sasa bahati mbaya au nzuri ile chupi...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwenye mahusiano/ndoa watu hua wanapiga picha pamoja . . . kwaajili ya ukumbusho. Kwa wale mlioko facebook mnajua siku hizi hizo picha haziishi kwenye album makabatini tu na ukutani ila mpaka...
4 Reactions
106 Replies
8K Views
Nina Gf ambae nimeiishi naye miaka 4 bila kufunga ndoa na bahati mbaya kwa muda huo wote hakuweza shika mimba wala kuwa na mtoto before I meet her. Niliweka agano la ndoa na yeye, lakini kwa kuwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Wife is like a TV, Girlfriend is like a mobile, At home you watch TV , but when you go out u take your mobile. Sometimes you enjoy TV, but most of the time you play with your mobile, TV is free...
0 Reactions
4 Replies
860 Views
wakuu ma greater thinker...nawakilisha,kuna habari mmoja imenisikitisha sanaa,nanukuu ''mwanaume mmoja amefikishwa polisi na mkewe,kwa kufumaniwa/kukutwa na picha za mama mkwee[mama wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman kuna sto r,nimeisikia radio one,imenichosha kwa kweli,yani kweli mkeo au mumeo,au wachumba mnasaviana majina ya ajabu ajabu kwenye simu,unadiriki kumuita au kumsave mkeo au mmeo...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
haya tena wapendwa wa jf......habari za masiku teele!! bwana nakaa nawaza sipati jibu.........la haraka!!maana ni miezi kadhaa kijana nimebahatika kupata kibarua cha mkoani...juu kabisa kaskazini...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Unakuta umempakiza demu kwenye gari akishuka anasahau either kibanio cha nywele, hereni au kakitu kokote ili ili mradi azue tafrani.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Assalam aleukum ndugu zangu,nina jambo moja nataka kuliweka hapa japo tusaidiane katika hili!nimekutana na dada mmoja bahati nzuri nakaa nae mtaa mmoja nikatokea kumpenda sana ila cha ajabu huyu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sixty-eight percent of the senior executives interviewed said they had neglected their family lives to pursue professional goals..
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za jumamosi waungwana wenzangu,nafikiri wote mko safi mnaendelea na shughuli za kila siku,jana nilikwenda bar kufurahisha macho kidogo na kupiga stori na wabongo wenzangu,basi kuingia...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
“Sitaki kabisa kukuona na wale wanawake. Utakuwaje na urafiki na Malaya wale. Sasa hivi watakuuza kirahisi kabisa. Ukitaka kuifanya ndoa yetu ianze vurugu, endelea kuwa na urafiki nao. Wanawake...
5 Reactions
105 Replies
9K Views
Wana JF Russian Roulette is one of the Mods ambae yupo saana nasi hapa jamvini katika mijadala mbali mbali as much as anatu-moderate na hata kumoderate threads. Hio imefanya awe na members wengi...
21 Reactions
99 Replies
11K Views
Nimesoma hii habari toka wanawakenisisi blog nikaona si mbaya na nyie mkacheka kidogo. Limbwata.... Huyu ndo...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kuna mfanyakazi mwenzangu anataka kumwoa binti ambaye wamedumu ktk uhusiano mwaka mmoja na nusu, tatizo ni background ya binti huyo,.kwani kipindi jamaa anaanza uhusiano naye iligundulika kuwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots, Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family ;-) Here is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari za jioni wana jf,poleni na mishughuliko na pilika pilika za hapa na pale za kutaka kujikwamua kiuchumi huku wakubwa wakiwa bado wamekaba hadi penalty.Kwa wana jf waliopo tanga wote naomba...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Ninachokisema hapa ni serious na naomba comments also seriously! Nina mpenzi wangu nampenda kw dhati, kadhalika kiasi flani nashawishika kuamini nae ananipenda kufatana na mambo flaniflani...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
hivi kweli kuna mahusiano ambayo yana uaminifu 100% jamani? namaanisha watu wanaanza mahusiano, wanaoana na kufa bila kusalitiana? kama yapo ni kwa asilimia ngapi? na tafadhari hebu nipeni siri...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea...
0 Reactions
78 Replies
7K Views
Back
Top Bottom