Nafahamu ya kuwa si mpango wa Mungu kwa mtu aliye tajiri kumtawala maskini kwa sababu ya umaskini wake. Na pia nafahamu si mpango wa Mungu kwa nchi zilizo tajiri kuzitawala nchi maskini kwa sababu...
Nimejiuliza wakati napitia uzi wa Cantalisia kuhusu jamaa alietoka nduki baada ya kugundua mpenzi wake ana mawe zaidi yake.Sasa swali linakuja,kwanza wanawake wanakubali kuwa mwanaume ni kichwa...
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali...
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli...
Embu tuwe wakweli jamani
sio kwamba nimekuja kuwatetea hawa mabinti ila naona ni wakati na jukwa amaalum kuwafundisha wanandoa jinsi ya kuishi nao..kuna wakati unakuta madada wanafanya kazi kweli...
Wanawake ni waongo sana. Kila mwanamke ambae nimekuwa nae utasikia anakwambia hivi.
1. Yani mimi mpaka namaliza chuo nilikuwa sijawahi kuwa na mwanaume
2. Mwingine yani mimi mpaka namaliza...
Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara '...
LEO NAJUA UKO NA MUMEO HUYO ALIEKUVISHA NDOA
LAKINI NI VYEMA NIKAKUPASHA KIDOGO VOLCANO MUHIMU BABU AIJALISHI MKO KWENYE
NANE KWA NANE MKIISHIA KIBO MWISHO WA SIKU MMOJA WENU ATARUDI MPAKA...
Habari zenyu ndugu zangu,eti kwenye viapo vyetu vya ndoa hamuoni busara wakiongeza maneno yafuatayo: "sitaacha usiku upite nikiwa na hasira juu yako". Nimeona tu kwamba mara nyingi wanandoa...
watu wengi hawajui bikira yaani kale kautando kwa akina dada kana maana gani na imefikia pahala watu wanao ulizia kwa sasa kuonekana washamba. .Ukweli ni huu siku za nyuma ilikuwa ikitiliwa mkazo...
Police have arrested a woman in Pakistan on suspicion of murdering her husband, chopping his body to pieces and boiling it in a bid to get rid of the evidence.
Zainab Bibi, 42, allegedly told...
Habari za mchana wana MMU! Mchana huu nimeshirikishwa jamba na kaka yangu (tunafanya kazi wote) ili nimshauri na mimi nikaona kabla sijamshauri chochote ngoja nipate mawazo ya wapendwa wangu hapa...
Porn dominates the internet in terms of hits and income and now its changing the way people have sex. Thats because the only sex education many people get is from pornography. Cindy Gallop...
Wapendwa wana MMU hasa ınfıdelıcıous naomba tuıtafakarı hıı sms alotumıwa ınf.mwenzenu;
"Enough is enough, kumbe ambacho huwa unakifanya ni...
WADAU, naomba ushauri na mawazo yenu juu ya suala la kupekua (kukagua) simu ya mpenzi wako coz mwenzenu limezidi kuniumiza mara kwa mara!
Nikipekua cm yake sometime naumia mwenyewe, nikisema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.