Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habarini za leo mmu, Hivi hii tabia chafu ya wanaume unakuta mtu ameoa mke wake cha ajabu yule mwanamke ndio anamlisha,mke akijifungua gharama zote juu ya mwanke uzazi mwanamume hachangii hata...
1 Reactions
63 Replies
5K Views
Watu wengi wamekuwa wepesi sana kukimbilia kwa rafiki zao ili kuomba msaada wa mawazo ya nini wafanye kwenye mapenzi. Imani iliyojengeka kwa watu wengi katika jamii yetu ni kuwa ushauri ni kitu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukimwambia msichana ww ni mzuri hato kuamini na Ukimwambia ni mbaya atakuamini na hato kusahau daima
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sidhani kama hili nalo linahitaji mabishano!Ukweli ni kwamba kwenye ndoa au mahusiano,mwanamke ndie muamuzi kwamba hiyo ndoa au mahusiano yaendelee ama la,akichoka MWANAUME lazima utoke nduki...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Inawezekana kuoa/kuolewa kabla ya kufanya mapenzi?kuna madhara/faida gani?
0 Reactions
5 Replies
943 Views
I really miss you ... I'm waiting for you every day ... dry lips I whisper your name ... and tears welling in her eyes from the awareness of the impossibility of miracle, of futility and...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Hali yenu . Mm ni mvulana nimebahatika kumpenda msicha kupita kiasi atachokitaka bc nampatia kila kitu endapo akanikosa basi huomba msamaha mm cha ajabu hufika wiki mbili huwa ananinunia naomba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kila ninapowaona, wengi wao wamejiweka kwa namna hiyo. Hivi ninyi kina dada na baadhi ya kina mama mnapo yaweka matiti yakionekana vifuani mwenu kwa nje kwa mfano wa mapapai mnamaanisha nini? Ni...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Sometimes we are so busy searching for things that are outside of ourselves, that we don't realize that what we really need is already in our possession! We dream of this distant place where all...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnawezaje kudumisha ndoa zenu pamoja na vishawishi vyote hvi vnavowazunguka?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
ninampenda causine wangu. yani mabibi zetu wamewazaa wazazi wetu hafu wazazi wetu wametuzaa sisi watoto. watoto ndo tunapendana. nifanyeje jamani naomba ushauri wenu.
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Je! ni zawadi gani nzuri ya kumpa mwenzi wako????????? Hili swali naona kama tunategana, maana ukweli watu siku hizi wanapenda fedha zaidi. Sawa unaweza kumpelekea ua, unaweza kununua nguo na...
2 Reactions
28 Replies
20K Views
Kuna jamaa yangu aliapa, kwa jinsi askari wa mashati meupe wanavyomsumbua kunako barabara, lazima atafute askari wa kike wa nyeupe amalizie hasira zake(kulipiza kisasi na si kutafuta favor)...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu zanguni pamoja na kwamba tunapenda aman kwenye ndoa bado nimeona kuna haja ya somo la ufahamu kuwepo kwenye maisha ya kila siku ya wanandoa...leo nilikuwa na kikao na ndugu fulani mmoja wao...
0 Reactions
118 Replies
12K Views
Why now so many people get to know the Internet? First, it is easier. You can stay at a comfortable psychological distance from the partner. Tell any lies about himself. Hide any truth. Ask...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna mtoto wa mama yetu mdogo wa kike ndoa yake inatakiwa kufungwa jumamosi hii toka jpili siku moja baada ya send off katoweka nyumban ijuzi katuma sms yupo sweden hataki kuolewa yupo na mzungu...
4 Reactions
59 Replies
4K Views
VIJANA WENGI tumepotea hapo,tuonapo basi tunataka kutimiza ile macho imeona,na hii ni hatari sana!Hebu tuwaulize na madada wanaovaa hivyo wana malengo gani?au ndo biashara yenyewe iko sokoni?Hata...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo uliyofanyiwa ambayo hayakupendezi. Ikiwa ni masuala ya kikabila, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kidini, usilipe kisasi. Ikiwa...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Washikaji, nashindwa kukung'uta thanks na like za uhakika kwa kuwa natumia mobile device. Niko Kamsamba, porini huku nafanya kazi za braza Ngiswe, kutorosha mabinti wa watu. Nawapendeni wote...
1 Reactions
7 Replies
966 Views
Back
Top Bottom