Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Tamthilia ya kichina imetafsiriwa kwa kiswahili cha ki-kenya! imekaaje mlioangalia.!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau,naomba mniambia sifa za msichana anae faa kuwa mke!!
0 Reactions
39 Replies
14K Views
Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nina rafiki yangu wa kike{wa kawaida},ambae tumezoeana sana,jana kkt mazungumzo yetu akaniuliza hvi,hvi wanaume huwa tunapenda vitumbua vya aina gani,maana...
1 Reactions
58 Replies
5K Views
Nimejiuliza swali hili baada ya kuchoka kusikia vimbwanga vya ma-HG,kauli yenyewe ni kuwa;UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA,kwanza ni elimu ipi?Pili,sasa ni yupi kati ya hao wawili?HG...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Hakuna ubishi kwamba maisha ukiyapangilia ni mazuri sana,yatakupa amani na kwa ujumla utatamani uendelee kuishi milele,lakini usipkuwa makini utaishia kujuta.Uamuzi wako ndiyo unaotengeneza...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni nini maana halisi ya kusamehe?? Je ukimsamehe mtu unalazimika kuwa karibu yake tena?? Kurudiana kimapenzi kama ndivyo mlivyokua mwanzo?? Kuongea mara kwa mara kama ndivyo mlivyokua mwanzo...
9 Reactions
99 Replies
19K Views
Pengine hili somo litawapa msaada wale mnaozaa nje mnawaandaje watoto wenu wasije pata shida mnapoaga dunia kwa kweli...hili nimeona kwenye gazeti la jana kesi ya kupinga urithi kwa mtoto wa nje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu. Je!?shemeji yako akimpiga dada yako mbele yako uamuzi gani wa kwanza utachukua??
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa kuogopa kugombezwa na pengine kupewa kichapo na waume zao kwa kutumia vidonge vya uzazi wa mpango, wanawake wa kijiji kimoja mkoani Arusha wamekuwa wakiwadanganya waume zao kuwa hivyo ni...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Mm n msichana nna miaka 26,nmeolewa na nna mwaka wa 4 sasa katka ndoa.mume wangu amenipita kama miaka 12 hiv Tatzo ni mume wangu ana wivu sana,asisikie kitu hana haja ya kufatilia km n kweli au...
4 Reactions
121 Replies
13K Views
Wiki hii nimekutana matukio mawili ambayo pamoja na umri wangu huu yamenitoa machozi. Tukio mojawapo ni hili la bibi kizee mwenye umri wa miaka zaidi 100 kubakwa kwa zaidi ya saa 8 (hadi usiku wa...
4 Reactions
48 Replies
7K Views
Yule 'beki tatu' niliyemnyang'anya simu, jana alimweleza mama yake mzazi kwa nini siku hizi mawasiliano yamekuwa magumu, na kwamba sisi tunaomtunza ndo tumekuwa tukiwasiliana na mama yake tofauti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
weekend huwa naenda makumbusho pale Azimio Arusha kujisomea nikijiandaa na mitihani yangu ya MBA, sasa kuna wadada huwa wanapitapita pale sijui huwa nao wanaenda kusoma ama ndio mambo mengine...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Uko kwenye ndoa. Umeoa/kuolewa na your dream man/woman. You met this guy few years back and all was paradise. You had all the funny you wanted. You could not let him go. He was the end of the...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Jambo hilo huwasumbua wengi sana, Ukweli ni kwamba ndoa nzuri au mbaya inategemea na malezi au tabia ya mtu kwa ujumla. Ndoa nyingi ambazo mmoja yuko juu sana na mwingine yuko chini sana, mara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
To My Beloved ...............You are always on my mind, I can't stop thinking about you. The first thoughts when I wake, and the last thoughts before I go to sleep are of you. I am such a lucky...
8 Reactions
145 Replies
9K Views
Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...? Hakuna ugonjwa wala...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Kwa wale Wakristu nadhani mnafahamu kuwa Ndoa (iundayo familia) ni taasisi muhimu sana katika Kanisa na ni nguzo kuu ya Kanisa. Kwa nini? Katika ndoa ambayo huunda familia ndiko Kanisa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom