Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Love relationships among the lovers are like bluetooth. They stay connected when they are close. And when you go away they find new devices.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
  • Poll Poll
habari zenu wana jf,ni hivi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ila ikaja ikatokea amepunguza mapenzi kwangu,baadae nikagundua kuwa anatoka na msichana mwingine kwa siri na hakutaka...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
kwa kawaida amtu ambaye yuko serious hatakiwi kutafuta mwenza kupitia mitandao, ila ina nibidi kufanya hivyo kwa kuwa ni tatizo na ninajaribu kulitafutia ufumbuzi . (kuhusu mimi) nina miaka 23...
2 Reactions
306 Replies
19K Views
Wadau kuna mademu wanamashavu manene!!!
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Mwaka unaisha keshokutwa hebu tuambizane thread gani ilihit sana kwa mwaka huu?
0 Reactions
50 Replies
3K Views
Waungwana hebu nisaidieni kwenye hili suala ambalo nimekuwa nikilifikiria kwa muda mrefu bila jibu sahihi.,ni hivi eti mke wako ni ndugu yako au ni rafiki yako?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi sijaoa lakini nimesikitishwa na kitendo cha rafiki yangu mmoja ambae ana mchumba wake na wamekua ktk uchumba kwa karibia mwaka sasa, huyu rafiki yangu alishauriwa na mtu wake wa karibu ili...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu!ebana,juzi kati ivi niko zangu viwanja,nkakutana na mmanzi flani hvi,dezaini umbo lake ukilicheck unaweza uhisi ni binti mwenye miaka 23 na kuendelea!bac,me nikawa nimemind...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
nina huzuni sana kwa kuwa tulikuwa wote siku chache zilizopita lakini akaugua ghafla na akashindwa kabisa kumeza dawa na chakula,hospital wamesema ni ukimwi,nilie au nifanye nini mimi...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Hivi inakuwaje binti ndo kwanza kamaliza chuo 26yrs,anaomba aolewe na mwanaume mwenye mke na watoto 2, kila siku anaahangaika kupiga simu mara nakupenda sana, nakumis sana,ukinioa namimi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Ni aibu kwa mwanaume kutukanwa na mwanamke,either jf au fb,tuachen mambo ya kumix madem jamani.Mpaka aibu...khaaa!,hata wasichana pia.kuja jamaa katukanwa,sijui kama atafuatilia tena.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau, Nikiri kuwa mimi ni mpenzi mkubwa wa nachi nachi, mapicha ya sinema ya kihindi. Sababu kubwa ya kupenda, mbali na stori, ni yale mazingira ambayo jamaa hutujalia kuyaona(...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF wakuu kuna manzi ambaye nilimtongoza zamani kidogo lakini yeye alinikataa kwa kunitolea maneno machafu mno.baada ya kusikia ana mimba na aliyempa kaikataa nikamtongoza tena na...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Mara nyingi hujiuliza sana.......hivi yawaje hapa makala za ngono hushabikiwa sana mithili ya kuwa mahusiano ni ngono tupu?.....kama vile bila ya ngono hakuna mahusiano?................au yaliyomo...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Hatupendi tabu wala kupigishana kelele na wasichana sema wenyewe ndo mna tulazimisha kuongea. nyie wanawake ni watu na kutufariji na kutupeleka dunia nyingine. Lakini mnatumia mapenzi mnayotupa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari ya maandalizi ya x-mas wakubwa? Ikiwa tunaelekea kufunga mwaka, wengi tumepitia mengi ktk mahusiano yaliyotufunza namna ya kustahimili na kumudu hisia mbalix2 kwenye mahusiano. Natumai...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ebu sikia hii, jamaa kamtongoza rafik kwa mda kama miez 6, dem kamkubalia tangu novemba..now wamekuwa wapenz ila dem hamuelew mshkaj sa iv ham2mii mesej kila siku kama zaman, inaweza pita siku...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Ndugu wana JF ni matumaini yangu kuwa aina zote za maisha au tabia zinaweza kujaribiwa na kuchwa kama hazifai lakini sio ndoa. Ndoa haijaribiwi. Ni vizuri mtu anapotaka kuingia katika kundi hili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya jumapili mwaka 2000, wakati huo ndio ujana wangu ulishika kasi na nilikuwa napenda kujirusha ile mbaya. Nilikuwa naishi maeneo ya Mwenge, lakini maeneo yangu ya...
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Back
Top Bottom