Nimebahatika kupata mchumba nadiriki kusema tunapendana ila kunatatizo linamsumbua mchumba wangu huwa baadhi ya usiku huingiliwa usingizini na akiamka huwa na dalili zote za kufanya ngono tena...
Hello,
Huyu msichana ni wiki kadhaa tumekuwa tukiwasiliana alishapewa habari zangu, jinsi nilivyo, na mambo mengine.
Ingawa mimi cjamuona
Cha ajabu amenipenda, ananipigia simu kama hana akili...
Wakuu nimeombwa ushauri na rafiki yangu,naomba mawazo yenu pia...
Ni hivi: Mshikaji alikuwa na uhusiano na msichana wake wa kwanza uliodumu miaka minne hivi,katikati ya mwaka 2010 akakutana na...
Kuna jamaa alikuwa na kesi mahakamani,na wakili wake alimshauri kwamba ategemee fine au akishindwa
kulipa atapelekwa jela,na hukumu imebaki siku 2.
Jamaa alikuwa hana hela,akamkopa boss wake na...
Msamaha ndio kitu muhimu sana katika maisha ya mwanadamu yeyote yule. Hivyo basi tunapaswa kuwasamehe wale wote waliotukosea kwa mwaka uliopita na tuombe kwa Mungu wetu atusamehe. Naye Mungu...
jamani nimeona kuwa kwa sasa ili mwanaume apate utamu basi inabidi tuu mshiko umtoke kwa namna moja au nyingine...kiufupi kuhonga is a must ndio unapata demu
sasa kwa mwaka ujao naona tufuate...
Usiku wa kuamkia leo Member mwenzetu Karachuonyo amepata Baraka ya mtoto wa KIUME ktk hosptali ya Saint Thomas hapa Arusha mjini na Mama na mtoto wanaendelea vizuri kbs! Hongera sana Mr & Mrs...
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo...
dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya)anasema anapendekeza katika katiba mpya mtu akioa/kuolewa hakuna kuachana.
chanzo tbc1 habari
Waungwana wadau, kwanza ninasikitika kwa kutokuepo mkekani kama ilivyo kawaida yangu kwa takriban siku 4-5 kufuatia kufiwa na Mama mdogo wangu J'2 iliopita na tumemzika jana (R.I.P mama). Wadau...
Kuna Binti hapa kaniacha hoi mie labda na nyie atawashangaza .
Huu ni mwaka wa pili sasa yuko kwenye hiyo secret admirer na kaka mmoja.
Kila siku binti anategeshea amuone huyu kaka ndo apande...
Mwaka ndo huo unaisha,
mapenzi yamekufanyia nini?
1.umeumizwa mara ngapi?
2.Umetumia sh ngapi kuhonga na kuwanunulia zawadi mademu,
3.umetumia sh ngapi kila ulipotoka out na demu sometime...
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana...
When volunteers were shown photos of ex-lovers from a recent break-up while lying inside a functional MRI scanner, their brains showed significant activity in the same regions that become aroused...
Habari zinasema kuna kundi la mabinti wezi wa waume za watu wameomba mchana huu maombi rasmi mungu kushusha mvua kesho ati madaraja yakatike watu walalale lodge
nanyi nawapa happynyu yia
Ndugu zangu wa jf, hapo kitambo nilikuwa na girlfriend, mwanzoni mahusiano yetu yalikuwa bomba kabisa na nilitokea kumpenda hasa pale alipofanikiwa kunifanya nisivute sigara,,na kweli baada ya...
Wahenga wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni....!!!
Rafiki yangu wa karibu sana jana kidogo agongwe na magari baada ya kumfuatilia mke wake kwa umakini zaidi na kugundua kuwa mkewe...