I just ended a six-month relationship because the person whom I believed to be the man of my dreams turned out to be a cheater. At this point in my life, I have given up all hope in men.
It's...
NIMEKUWA nikilieleza hili mara kwa mara kwamba mapenzi yanapoangaliwa kila upande, unakuja kupata jibu kwamba hakuna uhusiano uliokamilika. Muhimu kwako ni kumkubali mwenzi wako kama alivyo na...
Nina gf ila shida ni kwamba mara nyingi huwa nikipanga appointment nae huwa analeta excuse, na pia mara nyingine nikimuandikia sms au kumpigia cm huwa anaweza asipokee cm au asijibu sms,sasa hiyo...
Thread hii ni maalum kwa wadada hasa waliopo kwenye mahusiano ila bado hawajaolewa na wana mpango endelevu na wenza wao
Wadada wengi wanashindwa kutambua wapi wanapendwa na wapi wanadanganywa...
leo itabidi niwaseme kupitia nafasi hii,jamani kuna baadhi ya wanawake wanatakiwa wajitambua thamani ya utu wao na miili yao,nasema hayo kutokana na research yangu isiyo rasmi.Kuna akina dada...
Katika pita pita yangu angani, nimekutana na hii habari,
uchunguzi mpya uliofanywa na kiwada kimoja cha CONDOM nchini UINGEREZA umeonyesha kwamba, wanawake wa NIGERIA, wanaongoza kwa kutokua...
Mimi saa nyingine huwa napitia thread nyingi humu mmu hadi nashangaa. Nimejaribu kutafakali huu ushauri na maujanja ya hawa dada zetu wa jf wanautoa wapi? Ikabidi nitafute sample tu ya kuangalia...
Nina g.f ambaye tumepanga kuoana muda si mrefu Mungu akijalia. Siku za nyuma nimewai kuwa na mahusiano tofauti na wasicha wengine ila nilikuwa mgumu sana katika kutoa pesa yangu na mapenzi niliona...
Kijana mmoja aitwaye Islam nchini Bangladesh amemkata mkewe vidole, baada ya kumlaghai kuwa afumbe macho ili ampe zawadi ya kushtukiza (suprise). Dada huyo mwenye umri wa miaka 21 alifumba macho...
Mtu anafahamu kabisa,huyu demu alikuwa wa rafiki yangu,tena ukute watu kibao wanajua,na wewe kwa ajili ya kutokuwa na gal,akiachwa kidogo tu unajipelekesha..huwezi kutafuta wako,mpaka ijulikane...
Salamu ziwafikie popote mlipo, pia poleni na majukumu ya kila siku.
Siku hizi hii kauli ninaiskia sana kwa wenzangu kwamba "eti siku hizi hakuna wa peke yako" na wanaongeza kuwa "ukimtaka wa peke...
Katika mwisho huu wa mwaka hasa siku kuu ya X-MASS na MWAKA MPYA ungependa kumpa MUME, MKE au MPENZI wako zawadi gani? Ili kumuonyesha kwamba unampenda.
asalaamu!naandika sredi hii nikiwa na mtetemo wa mkono!naomba tumsaidie tafadhali!ni rafiki yangu sana kitambo sasa,tulisoma wote olevel na baadaye chuoni miaka adhaa iliyopita,huwa tunawasiliana...
Ni mara kadhaa nimekua siteremshi uzi hapa kabla sijafanya mapembuzi yenye uyakinifu wa kina.
Dhamira yangu hapa ni kuyaweka hadharani yale niliyoyafanyia utafiti kuhusiana na kundi hili la...
Mwaka 1990 wakati nafunga ndoa na mume wangu sikutarajia kwamba , ningekuja siku moja kumfumania na mwanamke yeyote. Alianza kunisimulia mama huyu, ambaye hapa ningependa mumfahamu kama mama...
Aslamu aleko jf, ivi kwann mademu ukikutana nae wakati yupo kwenye tight environment na ukampa msaada na yeye haamin km umemsaidia kibinadamu anataka abaki au ubaki na 4n namba 4 further...
kila itwayo leo tupo kwenye pilikapilika za hapa na pale za kutuwezesha tuishi maisha mazuri katika dunia hii.Hii inamaana ya kuwa tunahangaika kutafuta pesa kwa namna moja au nyingine.Kwani pesa...
Awali nilikua nikidhani labda ni kwangu tu! Siku zikapita huku nikifanya research siku baada ya siku kupitia watu tofautitofauti kwamba :-
Iwapo baina ya wapenzi wawili iwe mke Vs mume au Boy F...