Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hebu tuchukulie kwamba, una mwanaume ambaye hamjaoana, lakini ndiye unayemtegemea kwa kila kitu. Amekuwa akiwasaidia sana ndugu zako ili wafikie malengo yao katika maisha, na anajitahidi sana...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Nimerudi tena na shukrani zangu za dhati kwenu MMU, Bila shaka mliosomaga mada yangu ya nyuma mnanikumbuka sana, nimerudi kumishukuruni nyooote mliochangia mawazo yenu ukweli mlinifariji...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani wana jf naombeni ushauri kuna rafiki yangu alikuwa ana mchumba wake yaan gf ila huyo gf wake alikuwa ni binamu yake na wote walikuwa wanalitambua hlo ila sasa mshkaji akaona bora amuache...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa...
9 Reactions
162 Replies
9K Views
Heshima yenu wakuu. Mimi nilijua wavulana ndio wanao tongoza wasichana. Lakini hii tabia ya kutongozana wasichana kwa wasichana sijui imeanza lini. Mtu unajua kabisa huyu ni mke wa mtu lakini...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
wanawake tumekuwa ktk mstari wa mbele kudai HAKI na FURSA SAWA kwa wote (50% kwa 50%) mbona majukumu ya familia tunayakwepa??? tena na majina kibao ya kuwadhalilisha wenzi wetu, (sharobaro...
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Habarini wana MMU nimefanya analysis nimegundua vijana wa zama hizi ndoa zao ni nguvu ya soda wanaachana fasta kwanin? Mfano. Bro wangu mmoja ni tutorial assistant pale SUA alimuoa class mate...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Nimatumaini yangu makubwa mwana JF unaendelea vizuri, kwani bila hivyo usinge upata wasaa wa kuipitia thread hii kama ifuatavyo:- Umekutana na huyu mpenzi mpya kwa mara ya kwanza kabisa mko...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jaman maGREAT THINKERS naomben msaada wenu wa Mawazo; Kuna binti niliongea nae aje Gheto tupate kujuana vizuri, sasa tatizo ni kwamba naomben mnisaidie maneno ya kumweleza mpaka akubali kunivulia...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Inakuwaje mpenzi wako / mume au mke anapo kuita jina ambalo siyo lako?? tena ni mara kwa mara?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi kwanin wanawake wanawapenda wanaume ambao hawaja2lia? Tulio2lia ha2pati kabisa wanawake cjui kwann!? Hate dis thing.
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Hakuna sugu katika mapenzi kila mtu atapata mjanja anayempenda uvumilivu,subira ni vitu muhimu katika mapenzi,watu wengi huona wenzi wao hawafai pale tu wanapo wakosea huamua kuwaacha lakini tu...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Moyo huuma sana pale unapotendwa lakini utajifunza kitu kuhusu tabia za watu mbalimbali na matendo yao katika mapenzi hivyo huweka fikira fulani ya kuyatibu na kujazoea mapenzi,usikate tamaa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wananchi wenzangu!!hvi haya mapenzi tunayoyaona huku vyuon huwa yanadumu kweli au ndo after school kila mtu na hamsini zake?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wadau JF. Tunaitaji msaada kuokoa ndoa ya jamaa yangu. Zimepita wiki tatu toka kisa hiki kitokee, jamaa yangu alipanga safari yake ya kibiashara kwenda Japan.. Wakati yupo nyumbani...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari zenu JF. Mkasa uko hivi. Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana...
0 Reactions
206 Replies
44K Views
Asalaam Aleykum! Hope mu wazima ndugu zangu. Naomba tushirikine kwa hili. hivi ninapokuwa na furaha yani nacheka cheka siku nzima basi mchumba wangu anakuwa yupo suspicious na anaweza anihoji...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanajamvi, Kuna mdada hapa anahitaji masaada wa kimawazo ili imsaidie kuwaelewa wanaume. Anasema kuna siku kaka mmoja ambaye wamezoeana, wanaongea, sms, email nk, kiasi kwamba wamekuwa marafiki...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Wote wanasifa zifuatazo: Mwanaume/dume kusababisha mimba/mtoto Wote hutamani kingono wote wana wivu wa kimapenzi wote huandaa ujio wa watoto wote hulea watoto wao ( hutafuta rizki, hulinda kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vp wadau, nina girlfriend wangu kitambo sasa. Tunaheshimiana sana na tunapendana, ila shida iliyopo kwangu ni ya kuamkwa na hisia za kungonoka kila wakati. Hili linanipa wakati mgumu sababu...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…