Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu wawe na mahusiano ya nje ya mahusiano yao rasmi (kucheat). Tangu enzi na enzi mambo haya yamekuwa yakiwatokea wanaume na wanawake wa kila kabila, dini, lugha...
YOU CAN'T CHANGE WHAT YOU DON'T KNOW NEITHER AVOIDS WHAT YOU DON'T KNOW.
God father made and ordained family way back in the Garden of Eden and works with it and made it a backbone to the...
unaamini mapenzi ni hisia?kama ni ndio toa maelezo......,then na ni kip kinachosababisha kumpenda mtu?..............,toa maelezo plz maswali hayo yananiumiza kichwa nisaidien...................
jaman naomben ushauri, me nilkuwa na bf wangu 2lipendana sana akanitambulisha kwao ikabak ye kuja kwe2, sasa hapo pakaanza utata me nataka aje ajitambulishe ye anajivuta vuta ikafika point...
Hebu fikiria kwamba umefukuzwa kazi au kufilisika kimali, halafu mkeo au mpenzi wako anafanya visa na mikasa ya kila aina ili aweze kuachana na wewe. Hatimaye anafanikiwa na uhusiano wenu au ndoa...
Utasikia mwingine anasema, siku Mungu atakapo nipa mume au mke, hii ni hatari sana! Biblia inasema kwenye kile kitabu cha Mhubiri.3:1 Kwa kila jambo kuna majira yake na wakati kwa kila kusudi...
1. Chukulia wewe ni baba enzi zako za ujanani ulizaa binti na baadae ukaoa mwanamke mwingine na mmezaa watoto wakubwa sasa..sasa huyu binti nae mnaishi nae hapo nyumbani..sasa basi unagundua ni...
Do not confuse love and desire. Love - the sun, desire - only flash. " Desire dazzles, and the sun gives life. Interested person willing to make sacrifices, but true love knows no casualties and...
Jamaaa mmoja ambaye hajaowa, siku moja kamtembelea mama yake hapa kijijini kwetu BUSEGA,
mama yake kwa kuwa alikuwa hajamuona kwa miaka mingi basi akawa kamkaribisha kwa furaha na bashasha...
Kila mwanamke ninayekuwa naye tukifika mahali nagundua kuwa hatanifaa kwa kuoa kutokana na tabia zao...wengi hawatulii. Nimejaribu kila aina kuanzia wasomi wa elimu ya juu, warembo, wenye...
Wengi wa wanandoa wapya siku hizi wanaingia kwenye hiyo taasisi baada ya kupeana mimba "kutest zali", kitu ambacho huko nyuma haikuwa hivyo.Na wengi walioana wakiwa 'bado" hawajaivunja ile...
Jaman mwenzenu nina girlfriend 4,wote wananipenda,nana wapenda.imefika mahali natakiwa kuchagua mmoja tu,kwa ajili ya ndoa,wawili wapo dar,na mmoja yupo masomoni china,na mwingine tanga,wote...
Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa na mahusiano naye kwa muda wa miaka miwili na miezi kadhaa, tulipendana sana nakuheshimiana na kusaidiana katika hali na mali,
Kwa muda wa mwezi sasa alikuwa na...
Nategemea kufunga ndoa hivi karibuni ila nashidwa kuelewa ni shela gani zuri la kisasa linafaa kwa harusi?na pia lipi ni bora zaidi kukodi,kushonesha au kununua dukani?
Hodi humu ndani
mie sio mwenyeji sana, ni mgeni kiasi
Nimekuja na shida yangu tafadhali naomba msaada wenu
Mie ni dada wa makamo, niko nje ya nchi kwa masomo.Tangu nifike hapa nimekuwa mtu wa...
Kwa bahati mbaya sana katika jamii yetu ya sasa tofauti na zamani vijana wengi huingia ktk ndoa huku tayari walishakuwa na mahusiano na vijana wengine kimapenzi hapo kabla.Je ni ustaraabu kuruhusu...
Asalam alleikhum waungwana !
Jamani naileta kwenu hii ,Jamaa mmoja mtumishi wa umma hapa Kigoma ameishi na mkewe kwa mapenzi mazito kwa muda wa miaka 20 wamebahatika kupata 4 children sasa ishu...