Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Usiipe nafasi hofu Nyote mnapaswa kuwa na hisia zenye afya ili kujenga uhusiano wenye mafanikio. Kwa mfano, siyo dalili nzuri kama unakuwa kwenye uhusiano kwa sababu tu unahofu kuwa mpweke. Ni...
1 Reactions
10 Replies
16K Views
Kama kuna wakati nimeomba ushauri nikiwa serious basi leo ni zaidi. Siku nyingi nimekuwa nikitafuta mwenza wa kuishi naye katika maisha lakini imekuwa ni kazi ngumu kutokana na sababu mbalimbali...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Hi natumai mu wazima!Hey plz woman don't get angry with me!Natumia mimi mwenyewe kama mfano;Nilizaliwa pamoja na ndugu zangu wawili hivyo tukawa wa3,wakati tukio linatokea mimi ndo nilikuwa mdogo...
13 Reactions
156 Replies
9K Views
Kuna hatua mbili kuu za marafiki kukumbia. Tena wanaokukimbia ni wale marafiki wa jirani ulio waona kama ndugu. Ukiwatangazia kuoa wanaonekana kwa nje kukuunga mkono, ukihitaji msaa wao...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
​ Siku zote mapenzi huyapa maisha thamani lakini wapo ambao hujikuta kwa namna moja ama nyingine wanatengana na wapenzi wao kwa sababu tu ya mihangaiko ya kila siku yakujitafutia ridhiki...
0 Reactions
12 Replies
16K Views
Unakuta watu wakati mko wapenzi,mnapeana maneno mataamu,cku mkibreak mnatukanana matusi ya nguon?hii nimeishuhudia jana corner flan hvi.
0 Reactions
1 Replies
895 Views
Ongezea misemo mengine inayohusiana na mapenzi........ usitembee peku peku unaweza ukachukua mbegu. utamu tunao tatizo utelezi tu. kicheche siku zote anajua kusearch kama google. Ukimpata wa...
1 Reactions
31 Replies
22K Views
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini wanawake husalitiwa zaidi na mashoga zao kwenye uhusiano kuliko ilivyo kwa wanaume? Naamini kila mmoja ni shahidi kwa kutendwa, kusikia au kuona wanawake...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Me nmeoa nko na mke wa watto 3, lakini kuna demu anaishi jirani cc, chakushangaza uyo demu kila asbh cku za kz akawa anatym on the way, ikawa ni km kawaida jiran yangu nkawa nnam-pick almost miez...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Inaelezwa kwamba wake wa kwanza kwa wanaume wengi, ndio wanaochangia kwa kiasi kikubwa mafanikio ya wanaume hao. Na wake wa pili, yaani nyumba ndogo huletwa na mafanikio hayo yaliyoletwa na wake...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Self bei yake Tsh.6000/= kwa usiku mmoja Single bei yake Tsh.3000/= kwa usiku mmoja
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Huwa haitokei tu kama ndoto, bali kuna mahali inaanzia, ambapo kwa maana hiyo huwa kuna mabadiliko pia. Ingawa sio kweli kwamba mabadiliko yote ya namna hiyo yanaashiria safari hiyo, lakini bado...
4 Reactions
36 Replies
4K Views
Kamwe usikumbuke matatizo yaliyopita sababu yanaumiza na usiwaze yajayo sababu yanatia hofu maisha ni hapo ulipo ,maazimio ni kilele cha maisha bora yajayo, tazama mbele kwa kujiamini nyuma kwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Poll Poll
..."i trust you!" is better than "i love you!" bcos, you may not always trust the person you love but, you can always love the person you trust.
9 Reactions
77 Replies
5K Views
Dont give up; whatever situation your in.whatever challenges are;dont know god knows just know every situation you pass is the way of god correction aijalishi unamatatizo kiasi gani nakupa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wana jammii. Nimeishi na mwanaume wa kikurya kwa miaka saba sasa na tuna mtoto mmoa. Familia ya mwanaume huyu ni ya ajabu sijawahi kuona!Ndugu na wazazi wake ni watu wa ajabu...
1 Reactions
102 Replies
18K Views
http://youtu.be/sZmpsVLMqik Ooh baby I love the way you make me feel It slows down time Come in my bedroom and turn off the...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Wanawake wana matarajio makubwa karibu katika kila eneo linalohusu maisha yao, lakini inapokuja kwenye tendo la ndoa, mambo ni tofauti sana. Kwa nini? Ni kwa sababu, wanawake wengi ambao...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari zenu, kuna mschana mmoja ambaye ni mwanachuo mwenzangu wote tukiwa katika kozi moja. sio siri nimetokea kumpenda sana huyu mschana kutokana na sifa nyingi na vigezo ambavyo anavyo. ila...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…