Jirani yangu aliondoka juzi usiku akamuaga mkewe kuwa anaenda bar kuzuga. Hakurudi, akipigiwa simu zilikuwa zinasikika sauti za walevi, wake kwa waume. Mwisho simu ikawa haipatikani kabisa.
Leo...
Nipo katika mkoa wa kilimanjaro,nilikuwa najipatia msosi mahali moshi town, nikawa nimekaa meza moja na jamaa ghafla akaongezeka mama(around 30's).kumbe alikuwa mgen wa jamaa. Maongezi yao:
jamaa...
Wapwaz na binamz !
Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu Mzee Paul Joune Sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 Novemba 2001!
Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya...
Hello wachumba, walimbwende, warembo, mkaza mme, chakula ya muzee, mnao tuvumilia kila siku, poleeeni na dunia hadaa, ukicheza vibaya dunia balaa, cheza vizuri mpate mwanaume mzuri kwa maisha...
Ni msela wangu wa karibu sana, anakaribia kufunga pingu za maisha very soon na mchumba wake, lets say R,
Jamaa alikuwa na Mahusiano na binti Flani hv lets say Q,
jamaa kamwambia live Q juu ya...
Wadau,kuna gal flani hvi nasoma nae{ni rafiki wa kawaida tu}nlimkopesha pesa ka elfu 80 hv,bt cha kushangaza umeisha pita mwaka hajanilipa hata sent na leo asubuh kanitumia txt akiniomba ka niko...
Muhali gani mabibi na mabwana!Mie mzima wa mwili ila mgonjwa kifkra.Nilibahatika kupata elimu mpaka ya chuo kikuu,niliajiriwa ila niliacha kazi kutokana na matatizo ya kifamilia yalonitaka kurudi...
Kuna kabinti kamoja nimetokea kukapenda..!, but nilipomweleza akanitolea nje.! Na kusema eti kana mchumba tayari, jamani wana jamvi naombeni msaada wenu nimwambie vp? Ili anielewe huyu dent maana...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
Mchumba ni mtu uliemteuwa awe mwanandowa wako katika maisha yako ya baadae,katika uteuzi wa mchumba wahusika wengi wasiku hizi hufanya pupa hatimae hukosa uangalifu wa kuweza kugundua ni nani...
Kijana wa kiume unapofikia age ya kuoa,mama na kina dada wanaanza kukupa wosia kuhusu mtu wa kuoa. Mbona madingi huwa wanauchuna? Nipo kwenye hiyo age,siku moja nilikuwa nastorika na mama...
Hapana sio pdidy bana
nshazeeka sasa natunza familia ..nimesikia mtangazaji mmoja wa clouds fm
arnold kayanda kipindi cha jahazi akisema pamoja na serikali kukaa kimya
kuhusu yale madude yetu...
Hapa nazungumzia zile ndoa zenye vurugu, maana naona Wa-Beijing wanataka kunishukia kama Mwewe awindapo vifaranga.
Kwa wale wanawake wanaoishi kwenye zile ndoa zenye vurugu zisizoisha, ambapo...
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza je, baada ya kupata mimba bado mtu anaweza kuendelea kufanya mapenzi? Ni salama? Halafu huwa inakuwaje? Wataalamu wanasema mtu anaweza kuendelea kula uroda pamoja...
Miongoni mwetu kuna wenzetu ambao kutokana na malezi, wanapokuja kupata umaarufu na fedha, wanakuwa kama nusu vichaa au vichaa kamili. Wanapopata umaarufu kidogo au wanapofuma fedha kutokana na...
Ni rafiki yangu toka o'level, hatujawahi kwaruzana wala kupishana kauli. Kwa kipindi chote nimejitahidi kumuonesha kwa vitendo kwamba namjali na kumpenda. Miaka imepita tukiwa marafiki na nimeweza...
Watu wengi sana ambao hawajaoa au kuolewa huwa wanafikiria zaidi kuhusu kumpata mtu anayefaa. Wanawake ndio wako kwenye kifungo hiki zaidi. Jamii imewaambia kwamba, umri unavyoongezeka na nafasi...
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha mahakamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.