Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Unaweza kufikiria vitu vitatu au vinne ambavyo kwa kweli kwenye mahusiano watu wanakubali kuishi navyo lakini kwa kweli vinakera sana. NI vitu ambavyo unatamani mwenzako angeweza kuvibadilisha...
13 Reactions
83 Replies
6K Views
hivi ni kweli mtu wa kwanza kufungua(kubikiri) ni vigumu kuendelea nae kwenye relation mpaka mkafunga ndoa??????
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mashtaka yakafika kwa mjumbe.bila ajizi mjumbe akaniita.Mj jamaa hapa anadai unasugua kisigino kwa waifu wake mtarajiwa aaah nikawambia kiitwe iko chanzo cha tatizo jamaa akanyanyua simu na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
INAWEZA kuwa kama simulizi lakini ni ukweli mtupu. Baada ya kujikuta nikimuoa shangazi yangu kutokana na kufanya naye mapenzi kwa njia ya simu kwa muda wa mwaka mmoja. Uhusiano wetu ulianza baada...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
asalam aleikum, ndugu zangu wna jf hebu tujadili sifa kuu za mume *****. 1. HUSHAWISHIWA NA MKEWE ADHARAU,AWACHUKIE NA...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wapendwa napenda tu kujua mwanamke akitoa mimba au mimba kutoka yenyewe twajua kuna muda kizazi cha kuwa wazi na akisex tu bila kinga anapata tena mimba je hali hiyo inadumu kwa muda gani? (baada...
0 Reactions
34 Replies
13K Views
The first question that comes to mind when a spouse cheats is: Why? (because they`re in loooooove!) A recent study by the attempted to answer that question and found that the reasons behind...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtoto wa jirani yangu anasoma form II, kaiba laptop ya baba yake, dola 3,500/=, shilingi milioni moja na laki saba. Baba yake kagundua, kam'bana na kumsindilia kichapo. Dogo kasema kuwa eti...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari ndugu mwana JF Katika sayansi ya kompyuta na Teknolojia ya Habari na Mawasilianao (ICT), tunapozungumzia SIMULATION tunamaanisha kufanya practical katika mazingira yasiyo halisi (virtual...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Dada na Member mwenzetu Msindima wa Arusha amenipigia jana kuwa usiku wa kuamkia Jumapili 30/10/2011 saa 9.00 za usiku alijaaliwa kupata Babygirl. Ikumbukwe kuwa Msindima alifunga ndoa...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Kama ikatokea umekutana na mpenzi wako wa kwanza kabisa,yaani yule 'aliyelianzisha' na mna mahusiano na watu wengine tofauti,say umeoa/olewa na akataka 'kukumbushia'.Je una ubavu kweli wa kumkatalia?
1 Reactions
83 Replies
8K Views
1.Mvulana atatembea na msichana bila kinga,halafu akiletewa taarifa ya mimba,ataruka na kukimbia....Mwanaume atajadili na huyo msichana nini kifanyike..... 2.Atamuacha mkewe ambae hana kazi wala...
17 Reactions
122 Replies
11K Views
Kichaa siyo maradhi ,bali wataalam wengi wa saikolojia wanasema ni mtindo wa maisha ambao mtu ameamua kuishi.Nataka nikuulize swali hivi unapokwenda kuoa au kuolewa,ni nani atakwambia kwamba...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
habari zenu wana mmu. leo nimekutwa na tukio ambalo sijajua tatizo ni nini na nifanye, nina gf wangu ambaye kwa sasa yuko kwao nje ya mkoa,na kipindi fulani tulikuwa na matatizo ya mawasiliano...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
BASE ON TRUE STORY. Ilikua mida ya saa 10 alasiri baada ya kujikuta amemmiss mpenzi wake ndipo akaamua kumpigia simu ambayo iliita zaidi ya mara 3 bira ya kupokelewa. Alijaribu tena kupiga...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wana JF, naomaba tafadhari nieleweshwe....Hivi wanawake sex maniac ndo wanasifa zipi. Kuna kakazi nimekapata sikaelewielewi! Please react positively and be optimistic to this. I need your help.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nina mpnz wangu sasa tuna miez 9, ninampenda lakn simuelewi kabsa Hajawah kuniambia i love you wala i mic you yan tuko kama marafiki coz hatufanyi chochote kichoashilia mapenzi, kanitambulisha...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Umewahi kujiuliza hili? Kuna asilimia chache sana sana wanaokuwa na urafiki mavyuonina kifuikia kuoana kama mume na mke hii ni kwa wale wanaume walio mavyuoni sasa ya kufungua vichwa vyenu muwache...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu Great Thinkers, Kama mtakumbuka niliwahi kuposti thread moja hapa tarehe 21 october 2011 ili nipatiwe ushauri mada ilikuwa...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakuu mimi ni kijana mvulana miaka 30.Nimewai kuwa na wapenzi lakini wawili tu ndo wamenifanya nisifikilie kupenda. Mpenzi wangu wa kwanza kabisa na ndo mara yangu ya kwanza kujiingiza kwenye...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Back
Top Bottom