Kuna mdada, miezi mitatu iliyopita alimfumania mumewe na mwanamke ambaye ni rafiki yake ingawa sio kiviiiiiiiiiiile! Kama kawaida ya wadada akalia weeeeeeee mwishowe akaamua kumsamehe mpenzi wake...
Hope youre feeling better.....
Everyone is so eager to have you back in action again, rise up and exercise those bones.........We miss hanging out with you.........Ever since you got sick, We...
Sisi tunaofanya kazi chini ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. Akikuona unamazoea nae (godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata...
There's no question that breakups can be painful, and that it's difficult to trust and love again. But there are ways to get past the pain.
In time, it is absolutely vital to put the pain...
Mawasiliano ya karibu hufanya uelewe mawazo na matatizo ya mpenzi wako. Mwonyeshe na mthibitishie kwamba unampenda na huna mwingine zaidi yake. Hakikisha unakuwa muwazi na mkweli. Mkielewana...
Sipendi wa dada wanaowafanya wanaume wao kama ATM, unatoka na mdada for Lunch unaishia mlipia kila kitu na hata voucher anakuomba! Kibaya zaidi unamlipia hadi Taxi
Sipendi wa Kaka wanaopiga...
nilikuwa napita tu kwenye social network moja nikakutana nayo na nikaona nshirikiane nayi.
mbarikiwe sana wapendwa
For I know that my redeemer lives
and at the last,
He will stand upon the earth!!
The Crayon Box That Talked
While walking into a toy store the day before today
I overheard a crayon box with many things to say
"I don't like Red!" said Yellow and Green said "Nor do I"
"And no...
Utakuta mdada kamuona mume/penzi wa rafiki yake anakula raha na mwanamke wa 'pembeni' au wameingia nyumba ya wageni kufanya mapenzi, basi nongwa. Mwanamke roho inamuuma utadhani labda ndo yeye...
wazazi wa siku hizi tuna mtihani mkubwa sana wa fuwafunza watoto wetu maadili (nimetafsiri maadili kama values).
Zamani ilikua rahisi sababu jamii nzima ilikua na maadili sawa na mzazi anampa...
Hodi Kwanza humu JF!
Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF!
Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane...
Wadada acheni fujo na vurugu. Utakuta mtu katemwa badala ya kukaa chini na kutafakari makosa yake, anaamua kuharibu mambo ya wengine.
Afadhali tukose wote na misemo ya walio shidwa siku zote...
Wanawake wanapenda sana kuwa huru na hii inafanya baadhi ya wanaume wasijisikie vizuri. Kutokana na mabadiliko ya maisha ya ,wanawake wanafanya kila ambacho kipo kwenye akili zao kwa ajili ya...
Katika jamii nyingi za kiafrika hususani Tanzania, mwanaume ndiye huanzisha mahusiano kwa kumtongoza binti na hata kumchumbia kwa lengo la kuwa pamoja. Sasa inapotokea mwanaume/kijana akamtongoza...
Hebu jiulize kwamba leo Mungu anaamua kutoa adhabu kwa kila mwanaume ambaye ktk masuala ya mapenzi-iwe ameoa au bado yupo yupo-ameshawapitia wanawake zaidi ya 10 tangu alipoanza kuwajua wanawake...
Ninalia hadi sauti yanikauka yote haya ni sababu ya mapenzi. Ni dada ambaye nipo kwenye uhusiano kwa mwaka wa nne sasa na mchumba wangu. Nampenda sana, ni mwanaume wangu wa kwanza lakini jumamosi...
Leo mida ya jioni nilitoka na mama Ngina kupata mchesho wa kuku mahali fulani. Mara kaingia mlevi mmoja akasogelea meza yetu na kuniuliza.
Samahani mzee, naomba uniwe radhi kwa kuuliza
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.