Wakuu habari za usiku.kwa mara ya kwanza leo hii nimeamua kuongozana na mwenzi wangu na mke wangu mpendwa ili nikajionee sehemu anayonunulia vi-top,skin jeans,mapande manane na vimin skirts vya...
Hili timbwili la leo la kufa mtu. Kuna jamaa kafumaniwa na Mke wake anabanjuka na mwanawe wa kumzaa kabisa. Hivi huwa kinatokea nini kwa jamaa kama huyu kutembea na mwanawe wa kumzaa. Kwa nini kwa...
Hivi inakwaje unaenda na girlfriend kwenye show ya msanii maarufu...halafu anajipeleke jukwaani kwa kiherehere huku akimkatikia kiuno mpaka majasho huyo msanii kitu ambacho hajakufanyia.au upo na...
Imma.one sasa nimejivua kutoka kwenye chama cha wasela na Tarehe
26/11/2011 nafunga ndoa rasmi.
Hivyo wana jf wote mnaombwa mhudhurie bila kukosa kwani nitakuwa na faraja sana kuwaona.
Kwa...
Hey wana MMU za ijumaa, nimeleta wimbo huu special
kwa wale vijana wote wanaonasa kimapenzi kwenye
One night stand.....oneni mwenzenu alivokwama
kuonja mboga kwingi kaonja mboga chungu lol
week...
Unaweza ukawa mmojawapo
pole ila usiku wa leo kabla ujaenda kanisani kesho bora ujiangalie vyema ulioa kwa makusudi gani
wapo wengi wameoa ama kuolewa wakiwa na malengo tofautiwapo waliooana...
Nasikia zamani (maana sikuwepo) kazi ya kutongoza na mpaka mwanamke kukukubalia ilikuwa ngumu kuliko kuomba mkopo benki siku hizi. Sina uhakika sana na sababu za wakati huo lakini inaonekana...
jamani leo nimekaa na dogo mmoja apa home anasoma hizi sent nanihii with usafiri hadi mlangoni..mara ghafla inanijia picha enzi izo nasoma vidudu hadi primary kulee kijijin kwetu....aah nimecheka...
Eti wamama mwalimu wao ni .......Ni mke wa mchekeshaji ze comedy wa ulongoni.mumewe kakuta anamegwa na muuza voucher wa goms.mr akaita masela wake.kumuadhi pale wakaona itakuwa so.jamaa kaachiwa...
habari wana jf.
Ninaandika kisa hichi nikiwa na machungu sana.
Mwanaume niliyetegemea atakuwa mwanaume wa maisha yangu amenigeuka na kuniacha peke yangu.
Nilikuwa na uhusiano na mwanaume mmoja...
Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani
Where are you Miss...
Mwanamke akipewa nafasi anaweza mengi ambayo mwanaume hayawezi linapokuja suala la mtu kupata kile anachokihitaji maishani wake. Mwanamke ndiye mwenye subira kuliko mwanaume,ndiye msamehevu kuliko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.