Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Je! Unaamini ya kuwa Mungu anaweza kusema na watu kwa njia ya ndoto? Najua ni rahisi kuamini kuwa Mungu alisema na watu zamani kwa njia ya ndoto kama tunavyosoma katika Biblia; lakini je! Unaamini...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
MWANAMKE mwenye umri wa miaka 60, mkazi wa Kibaoni mjini hapa, amewavunja mbavu wasikilizaji wa kesi katika Mahakama ya Mwanzo Ipembe, baada ya kumjibu Hakimu kuwa kijana aliyemfikisha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita niliaweka post yangu kuwa mke wangu habebeki,nashukuru wachangiaji mbali mbali na inbox mlizokuwa mnanitumia nimesoma comments zote zaidi 126,nashukuru sana. Kama...
6 Reactions
41 Replies
5K Views
Ndugu zangu,usiku huu wa manane nimekosa usingizi kabisa cuz of ths lady who is seriously driving me craizy,nakiri ni kweli nilimkosea,nikajutia kosa langu bt suprisingly,she is stil mad to...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
jamani inasikitisha na ni kwani ukubali kufunga ndoa kama inaweza kudumu kwa siku mbili tu na sio maisha. wana mmu ndoa imefungwa jmosi trh 5/11 na imevunjika trh 6/11 jpili wakiwa kwenye...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hawa nao ni Adamu na Eva! NDOA, TALAKA NA KUOLEWA TENA UTANGULIZI Ndoa ilianzishwa (instituted) na Mungu. Mungu aliumba mke kwa ajili ya Adamu kwa kuwa Mungu aliona “Haikuwa vema” kwa Adamu kuwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mamemba wa mmu hebu nisaidieni kutegua hiki kitendawili.Kinahusu hizi avatars.Kwa muda mrefu nimekuwa najaribu kupata mwelekeo wa hizi avatars na nimekonklud kwamba: Avatars za kinamama wengi ni...
9 Reactions
479 Replies
22K Views
Habari zenu wapendwa wote wa jukwaa letu pendwa la MMU. Natumaini wote muwazima kabisa na ni buheri wa afya japokuwa ya kwangu si njema sana ila nashukuru nimeweza hata kuandika haya. Nimekuwa...
7 Reactions
114 Replies
8K Views
Habari?,rejea thread yangu yenye kichwa: JAMANI MAPENZI YATANIMALIZA NISAIDIENI PLS (nimeshndwa kuicopy hapa kwa kuwa natumia simu hvyo yeyote anaweza kunisaidia). Jaman nimembembeleza,nimeomba na...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Wadau, najua hoja nyingi zimo humu kuhusu hawa wasichana ambao ni "natural"! Unajua wife hapa ninapochar kashika remote anachange cahnnel tu kwenye dish akkiagiza hili na lile, na nimetoka kuomba...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Wadau,eti kuna rafiki yangu amebreak na gal wake hata week haijapita,jamaa kammiss gal,kajipendekeza kumpgia sim,gal kapokea fresh,ila ndo hvo mmanzi kamwambia mshkaji tayari ana mtu mwingne,hvi...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
napenda kujua neno'kaa vizuri' kwa wanawake linaimanisha nini?! Kwa sababu mchana ukimwambia mwanamke kaa vizuri anabana miguu! Lakini usiku ukimwambia kaa vizuri anapanua miguu!
0 Reactions
16 Replies
2K Views
2face's Official Video "If Love Is A Crime" - YouTube
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Mambo ni vipi? mara nyingi imekuwa kawaida kwa wasichana kuwabambikizia mzigo usio wao wanaume,je huwa wanania nzuri? kama wewe ukigundua kati ya watoto 6 ulionao watatu siyo wako utachukua...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa maandiko ya Dini zetu TAKATIFU, zimeelezea kuhusu mwanzo wetu sisi wanadamu, kwamba, Mungu alimuumba Adam kisha akamlaza usingizi akamtoa ubavu wake mmoja na kumuumba Eva na kumfanya...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
.......kati ya wanaume na wanawake linapokuja swala la kutoka kwenye mahusiano na kuingilia mapenzi ya wengine. Haya mawazo nimeyapata baada ya majadiliano yaliyokuwepo kwenye mada ya NK...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Imekua ni kawaida wanaume na wanawake kulaumiana kuhusu nani hasa ambae sio mwaminifu katika ndoa,lakini hebu tujiulize uaminifu tunaouzungumzia ni upi ni ule wa kushiriki tendo la ndoa na mtu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Hivi wenzangu nambieni. Ni kweli kwamba hawa nyumba ndogo huwa hawatupendi wanatusanifu tu??????? Eti wanatakaga tu pesa?
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ni kauli ya mpenzi wangu toka juzi hatuna story anasubiri jibu, nichague kuwa na yeye au jamii forums.....nakiri kuwa toka nimejiunga na JF ni mimi na simu,..simu na mimi, nikiamka jf, nikienda...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
"What's your number? According to a survey of adults aged 20 to 59, women have an average of four sex partners during their lifetime; men have an average of seven. Source: National Center for...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Back
Top Bottom