Mnipige mitamko mwenzenu jamani, Zamani kilikuwa kiatu fresh tu ila sasa mikandambili.. yaani ukiwa mchezoni inatelezateleza tu bila mpango wowote.. utam wote wa mchezo unatoweka.. ila ndo chako...
Huyu ni kama dada yangu, ni mwalimu wa shule ya msingi katika shule moja mkoani Tabora na kiumri anaelekea 30 hivi, nilimfaham baada ya kupanga kwetu miezi kadhaa iliyopita, ana bwanake ambaye nae...
Kwenye mapenzi kweli lawama zikiongezeka zinaumiza sana yaani, kila mara mtu unaonekana hauaminiki, unafanya vitu vingi tu tena vikubwa kwa ajili ya future lakini kila mara ni kuonekana mkosefu...
for centuries we africans have been crying out about racism or prejudice we face in almost every aspects of our lives..and it has all been about white on black racism but what about this newly or...
Mara nyingi utasikia Mzazi anamkaripia binti yake anayehisiwa kuwa ana boyfriend kwa kauli kama..'ATAKUPA NINI HUYO'??..
Hivi kauli kama hizi haziwezi kuwa ndio kichocheo cha hawa mabinti hata...
Ndoa nyingi zimekuwa na msuguano mbalimbali na hii ni kutokonana na ongezeko la joto duniani
lakini pamoja na hayo bado watoto wanazidi kuzaliwa kwenye ndoa hizo hizo za mikeke na basharati...
Habari zenu wapendwa,kuna met wangu hapa oficn ana tatizo ambalo hata yeye mwenyewe haelewi ni tatizo gani,ni mtu ambaye relation zinamsumbua sana,amekuwa akitendwa mara kwa mara kwa ni mtu mwenye...
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita...
JF habari,
Kichwa cha habari kinahusika. jamani mimi sikua naamini hili, mtu wa kwanza kumpenda, na ukipenda kwa dhati,
upendo hua hauishi hata ukija kupata mwingine.
Nimefikia kuandika ili...
Manuel Uribe jitu la nusu tani Mwanaume mzito kuliko wanaume wote duniani (guinness record) mwenye uzito wa Kg 560, nusu tani (88 stone) Manuel Uribe (43) amemuoa rafiki yake wa kike Caludia...
Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako.2 Uzishike amri zangu ukaishi, Na sheria yangu kama mboni ya jicho lako.3 Zifunge katika vidole vyako; Ziandike juu ya kibao cha...
Wednesday, October 19, 2011 2:19 AM
Mtangazaji wa taarifa ya habari wa televisheni ya ABC ya Marekani amwashangaza watu kwa kujitangaza LIVE kuwa yeye ni shoga wakati wa taarifa ya habari.
Dan...
Haya sasa...almost mwaka umepita tangu nilipojitokeza hadharani na kupinga Infidelity lakini nashangaa na kushindwa kuelewa kwa nini watu kama kina The boss, Asprin, Kaizer, Rejao...
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana toka kwa wanaume, yaani inapotokea mwanaume ana uhusiano wa kimapenzi na msichana basi tulio wengi hujiona kama ndiyo tunanafaidi sana na kupelekea kujisifu wazi...
Nimewaza haya nikiwa nje ya Dini kabisa. Hapa nilikuwa naliangalia jambo hili Kisayansi, kwa hiyo kama ukihusisha Dini yako na jambo hili, utatoka nje ya mada.
Nilikuwa najiuliza tu kwamba...
Wanaume hupenda kuwa wenyewe muda fulani (kukimbilia pangoni) hasa akiwa amerudi nyumbani kutoka kazini au akiwa anatatizika na jambo lolote.
Hivyo basi inawezekana wewe kama mwanamke ndani ya...
Mwanaume akifika kileleni starehe yake huisha baada ya muda wa sekunde 6 wakati mwanamke ni sekunde 23 hii ina maana kwamba kama wanawake wanataka usawa basi wanahitaji kuhakikisha wanaume...
Hili ni swali linaloendelea kuvuma kujua baba halisi wa mtoto wa irene ni nani
wapo wanaume 5 waliofananishwa sura zao na mtoto krish ..yawezekana ulikuwa
na kabahati cha kukutana nae wiki chache...