KUALA LUMPUR, Malaysia (AP) Malaysian police said Tuesday they have busted a sex slave ring and rescued 21 Ugandan women who were forced into prostitution after being lured to Malaysia with...
Mimi ni mwanaume nina mpenzi wangu ambaye anapenda sana kutishia kuniacha kila inapotokea ugomvi kidogo tu. Mara nyingi nimekuwa nikijitahidi sana kuomba msamaha hata kama kosa ni la kwake, ili tu...
Ukweli Mapenzi ni Matamu na ni Machungu! Je, umewahi kumpenda mtu kuliko maisha yako mwenyewe na ukampa kila anachohitaji lakini ukaishia kujuta kwa sababu amekusaliti na kukuumiza?
Sisi sote kwa...
Mimi ni wife niliyewahi kutendwa mno na hubby wangu for the past 5 yrs yani alikuwa hasikii wala haoni kifupi hakunijali hata, na mungu alinijalia moyo wa kuyavumilia mengi mno(cheating zaidi)...
Kama tu katika maisha ya kawaida kuna wakati una'regret' kuwa kwa nini ulifanya hivi na sio vile..mfano..labda kama ni masomo unaweza kusema 'kwa nini nilisoma Sheria badala ya Uchumi'??.. au kwa...
ndg naombeni mnisaidie nimshauri rafiki yangu.
kabla au hata kipindi akiwa na msichana bunduki(pen....c) inacmama sana kuonyesha ina hamu sana ya ku do..lakini wakati ukifika ili waanze ku do...
Kupenda ni kule kuwa na hisia nzito juu ya mtu mwingine,na ktk suala hili ,juu ya mwanamke kama u mwanaume au juu ya mwanaume kama u mwanamke...hisia nzito inamaana kwa namna nzuri,namna njema,si...
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu...
Tatizo la kujichua ni mwaka wa tatu sasa nimeshindwa kuacha,nimejaribu kwa kipindi kirefu lakini nimeshindwa,kufanya ngono na prostitutes imekuwa kawaida,maisha yangu yamekuwa ya upweke sana...
Many married women and men as well do not like to identify with their partner in public gatherings like ceremonies, shopping outings, seminars etc....Is that right or wrong? This happens with...
Hebu chukulia kwamba umeoa au kuolewa na umeishi na mkeo au mumeo huyo kwa miaka nane, na mna watoto wawili katika ndoa yenu. Inatokea mnakubaliana mnunue kiwanja kutokana na kuchoshwa na nyumba...
When the darkness falls
Feeling the midnight chills
Like rivers of pain tears flow
Totally forgotten this I know
Overwhelmed by sadness
Embraced by coldness
Alone and lonely
Gone and...
Nimepitia khabari hii na ikanishtua.........ya kuwa ushirikina unavyowachochea akina mama Zimbabwe kubaka wanaumme ili kupata mbegu zao kwa ajili ya nguvu za...
Hili swali ambalo lilizuka katika mjadala mmoja wa wazee kijijini kwetu kwamba siyo kawaida kwa mwanamme kumkatalia mke/mpenzi wake mapenzi hasa kama mwanamke ndiye amekuwa mwanzishi. Tena mzee...
Kwa wale wanao amin kuwa Kuna Mungu,na Mungu ameumba upendo.swal langu ni ivi,unapomfuata binti au kijana wa kiume na kumwambia unampenda,unamanisha unampenda kwa upendo ule ule ambao Mungu...
NI UKWELI TENA WAKUAMINIKA, TENA WAKUKUBALIKA.
WANAUME WANAONGOZA KWA KUSUSA MISOSI KAMA ADHABU KWA WENZA WAO
NA WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUSUSA KUTOA SERVICE 6x6.
IVI NANI MSHINDI
Kila mara unapoona masuala ya mashindano ya urembo,kuna kitu kimoja
huwa najiuliza sana....
kwanza wahusika karibu wote ni wanaume watu wazima wenye wake na watoto..
hapa namaanisha...