Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naona wanaume wametaharuki kwa hicho kichwa cha habari…………….Jamaniee sina maana hiyo! Namaanisha ukitaka kumuua mwanaume kisaikolojia na sio kwa kumtoa...
2 Reactions
92 Replies
10K Views
Habari wana jf, kwanza nna majonzi kwani yapata wiki tatu sasa tangu tumuage mama yetu mzazi, ila jambo linalonifanya niendelee kukosa furaha ni kwamba mama alinyanyaswa na shemeji (mke wa kaka...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam wanajf wenzangu wote.. Lord have mercy….. Uchaguzi wangu haujakuwa km nilivyofikiria itakuwa, mama inaniuma sana, mama anasema Sio rahisi mwanangu kuelewa haya mambo ila natumai...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
katika uchumba/mahusiano ya kimapenzi inatokea kufarakana hata kuachana...je vile vitu mlivyokua mkipeana enzi hizo (zawadi,..picha) yapasa mrudishiane?..
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Wapendwa hapa JF za siku, bila shaka wengi wetu hapa ni wapenzi wa mitandao mbalix2, ukiwemo wa fb, jitahadharini sana sana na huu mtandaoo, umeshavunja uhusiano wa wapenzi wengi sana, na sbb hizi...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nakumbuka kipindi nilivyokuwa 'kijana'.... dah! Ingekuwa ndo sasa hivi kina dada wote humu mngekomaje!...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Why does love feel so good? By Helen Fisher, Ph.D. “Tell me where is fancy bred, in the heart, or in the head?” asked Shakespeare. He was one of millions who, over the centuries, have wondered...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
wadau habari ya muda huu leo ndoa yangu inatimiza mwezi 1 nafurahia maisha haya kwani nitofauti sana na nilipokuwa bachela kwani haijawa ndoano je waungwana shemeji yenu nimpe zawadi gani ?
1 Reactions
48 Replies
3K Views
Jamani hii kitu imekuwa inanisumbua kwa muda sasa ndani ya nyumba! Hivi karibuni nimefunga cable service kutoka kwenye kampuni moja hapa nnapoishi. Binafsi hawa jamaa wana channel nyingi za mpira...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Salamu wanaJF, Mimi ni kijana wakiume, naombeni mnielimishe kuhusu nyota! Mtu akikwambia nyota yako haingai au inamatatizo inamaana gani? Kwa takribani miaka 3 sasa nimekuwa naplani nzuri za...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
2 Reactions
68 Replies
5K Views
...in this money driven world can love really stand with out cash?
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Wenzangu wana JF, nasikitika kuwajulisha kuwa nimefiwa na baba yangu mdogo, ambaye tulikuwa tumeshibana naye sana, na alikuwa ndiye baba yangu pekee aliyenijali na kunitunza tangu alipofariki baba...
14 Reactions
143 Replies
8K Views
hallo wapendwa nawatakia jioni njema na week end njema....
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Hakika she loves for real....she gave me her love, her trust and everything...she loves me much better, better than i love myself but the problem is i dont love her, inaniuma sana kuona huyu binti...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari za leo ndugu zangu kama mnakumbuka kichwa cha habari hapo juu leo nimekutana na wahusika na nimewapa ushauri wenu ila nilitumia njia ya kuchunguza kama ujauzito ni kweli wa rafiki yangu kwa...
0 Reactions
88 Replies
5K Views
Kama imetokea, ni mara chache sana wanaume wanaonunua miili ya wanawake kuzongwa na jamii. Kama ikitokea ni pale tu mwanaume fulani anaposhindwa kujilinda ipasavyo hadi siri yake ya kwenda kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Imefika mahali mwanamke anasema "I'm leaving you" au "Naondoka" na anaweza hata kuanza kufunga virago na hata kukata tiketi. Je ina maana gani? Je mwanamme afanye nini? Je anatingisha kiberiti tu...
3 Reactions
64 Replies
7K Views
Jamani wana jamvi, hili linatusumbua sana. Utashangaa wakati wa uchumba na urafiki watu wanakuwa na mapenzi tele, wanakumbatiana na mengine mengi! wanapendana na kuambiana you mean the world to...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
mwenzenu nina mkosi.nimemkuta anayejiita mpenzi wangu anasasambua mbele za watu usiku wa manane pale maisha club alhamis kwenye show ya twanga.anacheza hadi watu wanampigia makofi na kumtuza...
1 Reactions
69 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…