Unafanya kazi ofisi ya selikali, bahati mbaya, mko wengi mno ikatakiwa kwenye ofisi/chumba chako mkawekewa meza mbili zinazotazamana, wewe ni mwanaume na mwingine ni mwanamke au wewe ni mwanamke...
Imekuwa ni kawaida kwa wanawake wengi kuomba salio
kwa wapenzi wao, ajabu ni kwamba huwa hampigi simu
bali mmezoea kubeep, tena hata ukitumiwa salio bado utabeep
Asubuhi tu umetuma 5,000 Jioni...
Habar zenu! Wan JF
Kuna Mambo humu watu wanaleta na hata mtu ukifikiria unasema kweli huyu anahitaji msaada! lakini kuna mambo Mengine huwa najiuliza hvi mtu amekaa kwanza akafikiria jinsi ya...
Zamani wakati nilipokuwa mtoto, ilikuwa ni aibu kubwa mtu kuambiwa amefumaniwa. Kama ni vijijini, wapiga ngoma wa kijijjini wakiongozwa na Manju wao walitunga nyimbo kuzungumzia jambo hilo...
Tushirikiane kumshauri mtu huyu jamani:
Naomba ndugu muniombee niko kwenye majaribu makubwa hadi inafika wakati najisikia sina hata nguvu ya kuomba. Mara kwa mara huwa najiuliza kama kweli Mungu...
KUNA mtu mmoja nilizikamata sms za malovie kwa mpenzi wangu wakijibizana ,nikazunguka kitaa nikapata full detail jamaa anamtafuna mpenzi wangu baa fulani sasa kesho nimekuta sms kuwa watakutana...
Wana JF hivi hili suala la kuasili mtoto (nadhani ndicho kiswahili chake? i stand to be corrected) au adoption kwa Kiingereza kwa hapa kwetu hali ikoje? sheria/sera (kama zipo) zinasemaje? Je...
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
What causes divorce? Seems like a complicated question, but in reality, it is quite simple. Researchers like Drs. Scott Stanley, Howard Markman, and John Gottman have all discovered bascially...
CLEAVING AND LEAVING - Marriage Message #167
Some spouses set themselves up to leave their marriages because they never properly "cleaved" to their spouse in the first place. The Bible says in...
Yaani ukisikia stori za kinamama wanavyokwenda kwa Kalumanzila utachoka kabisa.Kusema kweli kinababa sijui huwa tunalishwa uchafu kiasi gani.Wengine nasikia wanawapikia waume zao kwa maji...
Swali linanitatiza, jawabu natafutia,
Nimebaki ninawaza, nani atanipatia,
Sina wa kunijuza, bora kuwaulizia,
Mtu akila ndotoni, huamka ameshiba?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji a.k.a...
HOME INTERNAL MEMO
FROM: FATHER
TO: ALL DE PENDANTS AND RELATIVES
CC: MOTHER
DATE: TODAY
ECONOMIC SITUATION AND GROUND RULES
Due to the current economic...
Labda leo niwaulize wana JF wenzangu.....................
1. Matusi ni nini?
2. Nani alikuambia kwamba kuna matusi, au ni nani alikufundisha matusi?
3. Matusi yana athari yoyote?
5. Zipi hizo...
4 HAPPY MARRIAGE.
1.never both be angry at the same time
2.never yell at each other unless the house is on fire
3.if one of you has 2 win an argument,let it be your mate
4.if you have 2 criticize...
Nina rafiki yangu,anapenda kwenda uvunguni hadi aibu.Amemaliza masomo yake UDOM mwaka huu.
Kwakua maisha ya mtaani ni magumu,akaomba tempo kufundisha katika shule moja inaitwa brain trust mjini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.