Nimemzidi kisomo mtu ambae ananipenda na kunijali sana na namuona ananifaa kuwa mwenza wangu maishani, mimi nakaribia pata mastesr wakati mwenzangu hata certificate hana. Ila ni mtu ambae...
Habari zenu wapenzi wangu woote!
Hivi ni kwa vipi starehe inaweza kuwa kikwazo katika ndoa? Starehe ninazozungumzia hapa ni pombe na club. Inawezekana kwako isiwe starehe ila kwa mwingine ni...
Wapenzi wa MMU,naombeni maoni yenu juu ya hili,ni wakati gani muafaka wa kuanza mahusiano mapya baada ya kuachana na mpenzi wako??na nini naweza kufanya katika kipindi hicho cha break up kiweze...
Msichana wangu katoa mimba yangu ili aolewe na mtu mwingine aliyekubaliana naye.Nasikitika sana kwani nakumbuka binti aliambiwa na Daktari kua hawezi kushika mimba halafu kapata katoa.Na sasa...
Kuna mzee mmoja amedai kuwa amechoshwa na tabia ya mke wake ya kudekeza watoto mpaka wanataka kuharibika.
Amesema anakelwa na mengi toka kwa wife wake hadi kuna siku aliamua kuchukua cheti cha...
Nilileta uzi hapa usemao;'Nisaidien nifanye nn ili aniache na maisha yangu'.Nashukuru nilipata mawazo mengi sana kutoka kwenu,na jtano iliyopita nikayatumia kwa kuwafuta maraki zake 2 wanaommudu...
Hi jf members, jamani juzi nipo na mzee mmoja analalamika eti watoto wake hawana msaada. Nikagundua kwamba tunazaa tu ila watoto ni "liabilities" and not assets. Yaani huwezi rejesha gharama zako...
Jaman wana jf kuna kabinti 2napendana sana lkn hanijui wala cmjui but 2najuana kwa cm 2 na yeye anaonekana ananipenda coz haipiti cku bila kunipigia cm na wakati mwingine hunipigia cm na huni2mia...
Wadau nimevumilia tabia kwa muda mrefu tabia hii ya wakina dada ya kutikisa makalio pale waonapo wanaume wengi tumekaa,saa nauliza lengo ni kututia hamasa au tuone maumbile yao.?
Kuna watu wameoa wake au kuolewa na waume ambao ni vichaa au baada ya kuoana wamekuwa vichaa, lakini watu hao wameendelea kuishi na hao wapenzi wao kwa Amani tu na kuwapenda. Huo ndio unaoitwa...
Ni mawazo gani ya kwanza yanayokujia kichwani juu ya moja au baadhi ya mambo kati ya haya yanapotekea juu ya mme/mke/mpenzi wako?
Unapiga simu hata mara tano, haipokelewi...
Unapiga simu...
nasikiliza kipindikimoja wanadai
wanaofanza duty za usikukurudi asbh wengi wamepoteza imani kama
awapo kwenye ndoa na hata waliopo wanaishi kwa matumaini
ukiwa kama mwanandoa siongeleei...
Inasikitisha sana mtu kaoa tena ndoa ya kimungu na kwa heshima kubwa halafu unamkuta kwenye madanguro na mausiku klabu, kikubwa anatafuta malaya na hana ugomvi na mkewe kisa tamaa tu. kuna mana...
Kuna jimama moja apa mtaani limekuwa likarimu sana kwangu hata akisafiri nyumba yake ananiachia mimi,zawadi kibao,na mkwanja ananiachia,jana ndo kafunguka eti ananipenda ikanibidi mtoto wa kiume...
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.
Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great...
Wakubwa shikamooni
Wadogo marakhaba..
Wengineo mambo zenu..
Nway mie ningependa kuuliza
Nyimbo gani za harusi nzuri ..?
Au nyimbo gani zilikuwa kwenye harusi yako.?
Na kama bado hauja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.