Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habarini, Rafiki yangu kaniomba ushauri. Anasema wanapokuwa kwenye chakula cha usiku Mumewe hafiki kileleni. Badala yake hutumia masturbation ili kuweza kukidhi haja zake. Ni jambo ambalo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Bila shaka hata wewe umeshawahi kukutana na kauli kama hii kutoka kwa wanaume, wengi wao wakiwa ni wale ambao umri unazidi kusonga lakini wakiwa bado hawajapata wenza wa kuoa na kujenga familia...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Joined JF in 1st of march year 2011...didnt know that you were a member... Friends we became...and now something i feel for you... Could this be true? coz everday i think of you... Yes,its...
0 Reactions
94 Replies
5K Views
This is fact. The more you get used to "kutendwa", the less painful it becomes...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Wanajamvi kwa hili mnanishaurije,kuna girl nilikuwa nafanya naye dating,halafu kweli kama amenipenda,sasa juzi usiku nikiwa skype nilijiweka invisible,sijui alifanyaje kosa akaniadd kwenye skype...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Natumai wote mko pouwa wapendwa wana jf!nisameheni kwa kutoonekana maeneo haya siku nyingi ila mungu ni mwema nimerudi tena,hapa simuongelei mtu wala kuigiza ila hii na yangu mwenyewe imenitokea...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
41. Kupanga kwamba niki rudi nyumbani tu nitapokeana na mwenzi wangu kwa furaha ghafla unawasili unaingiwa na chuki moyoni juu yake. 42. Kuchelewa kurudi nyumbani bila sababu ya msingi (Baada ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hili ni tukio la kweli juzi jumamosi saa mbili usiku,jamaa alimuaga mkewe mapema kuwa ataenda saluni kunyoa nywele akitoka kazini saa moja usiku,mkewe akamkubalia ila naye akamuomba akitoka kazini...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Habari wote, >>>Harry alipochoka kufanya kazi zake akazima taa, akambusu mkewe, >>>akalala na usingizi mzito ukampitia. Mara akamwona mwanamme amesimama >>>kitandani. >>> >>>"Toka hapa nani wewe...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Wanafunzi wa sekondari, wanachuo na wale walio chini ya umri wa miaka 30 ndio wanaoongoza kwa vitendo vya uchoropoaji wa mimba. Na wengi wao wanagongwa na dokta mtoa mimba kwa kisingizio cha...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Juzi tulikua kwenye msiba wa Mwalimu wangu mmoja.Wakati hili likiendelea nikawa nauliza kwamba ni nini hasa kilipelekea kifo cha Mwalimu huyu. Nikaambiwa Hospitali Docta alisema kwamba jamaa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Msichana,niliepanga kufunga nae ndoa na tena anafahamika hadi kwetu,amenifanyia mambo ya ajabu. Ilinichukua miezi minne tangu nionane nae mara ya mwisho.Tukiwa gest nikakuta kuna namba mbili moja...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Mpendwa msomaji hizi ni dalili kadhaa ktk nyingi kama unaona hapo iko sehemu inakugusa tafuta mahala penye huduma ya kufunguliwa upone, haya mapepo machafu yana leta hata kukufanya uwe unaishiwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
11. Kumchukia mwenzi wako kiasi cha kutamani afe ili uoe au uolewe na mtu mwingine. 12. Kuota wanawake au wanaume wako uchi,au wewe mwenyewe kujiota ukouchi. 13. Wanandoa kuota mwanaume au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mimi sikujua kuwa kuna vita kubwa namna hii hadi nilipoisoma hii khabari ya kuwa makanisani wanawake waliolewa wanakazi moja tu kulinda waume zao wasirubuniwe na...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Kama ulikuwa hujui, ni kwamba wanawake hupenda kuonewa wivu, lakini kwa kiasi kidogo tu. Lengo lake hasa ni kutaka kujua kama unamjali kwa kiasi gani. Wakati mnapoingia kwenye mghahawa ama kwenye...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Ningependa kutulia na kijiheshimu mpaka kipindi naingia kwenye ndoa ndo nianze "Love making",sioni umuhimu wa kuwa na gf kwa sasa sababu kunakaribisha ufanyaji wa ngono coz sihitaji kiukweli na I...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Ndugu zangu wana jf naomba ushauri kwani nilikuwa na mahusiano na mrembo wa kichaga nilimpenda nae alinipenda sana sasa niliamua kwenda kumtambulisha kwa wazazi. wazazi wanasema kamwe...
1 Reactions
88 Replies
7K Views
Biblia inatuambia Nami nimeona lililo na uchungu kupita mauti yaani,Mwanamke ambaye moyo wake ni mtego na tanzi na mikono yake ni kama vifungo; Yeye ampendezaye mungu atamponyoka,bali mwenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
1.unaingia kwako room kutoka kazini au masomoni nje ya nchi wakuta hali ka hii room kwako 2. wamkuta mkeo juu ya kifua cha mtu au mumeo juu ya kifua cha mtu 3. ikiwa ww ndio huyo mke...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…