Waziri mkuu wa Italia,amejikuta yupo matatani baada ya gazeti moja kuamua kuchapa maelezo yake ya simu ambako alikua akijisifu kuwa ameweza kulala na wanawake 8 kwa USIKU MMOJA
Kwa kufuatilia wengi wanasema simu inalinda penzi na wengine wanasema simu inabomoa penzi,je upi ni msemo wa kweli?nashindwa kuelewa,naombeni michango yenu.
KUNA KIPINDI NILIKUWA NAPOKEA MESEJI ZA WATU AMBAZO ZINANIHITAJI ETI TUWE MARAFIKI LAKINI MESEJI ZOTE AU NYINGI KATI YA HIZO ZILIKUWA ZINAFANANA,NA NILIJIUNGA NA JF NIMEPOKEA MESEJI KAMA HIZO NA...
Jaman nina mpenz wangu mpya ambaye nimemtongoza sio mda na sijawahi kufanya nae mapenz hata siku moja.kuna siku moja 2likuwa sehemu nzuri inayo 2faa kabisa kufanya mapenz lakn 2likubaliana...
baada ya kusoma kwa umakini mkubwa ushauri wa wana JF...asubuhi hii nimeamka nina confidence ya ajabu hadi najishangaa.....nipo nimeshafika ofisi za hii kampuni nasign mkataba na safari itaanza...
Najua utakuja na matatizo yake lakini leo naomba ujue matatizo ayakusaidii kusimamisha
kumweka mkeo awe bora kuliko wengine..ndio maana ukaacha kuchukua yale ya lasvegas
na kukimbilia nae...
How do you protect your love ?
Je unalinda vipi upendo(penzi)??
nawasalimu nyote , poleni na kazi za hapa na pale
na majuukumu ya maisha..
Swala la upendo ni kitu kizito sana , ni mara nyingi...
.. There are No Golden Rules
Kinachofaa kwa Hamisa.., hakifai kwa Mwajuma (one size does not fit all....)
Hata ule msemo wa do onto others as you would have them do onto you nadhani...
Ghafla bila kutarajia, nimejikuta naangalia kipindi cha Shajara kupitia TBC1, kilichokuwa kinaongelea ngoma ya kabila la Wamasaia inayoitwa esotho (samahani kama nimekosea neno hilo). Sikuwahi...
Ukiwa na mahusiano na mapya je hayo mahusiano uanza vipi? wakati kwa vyovyote vile lazima unakuwa na mhusiano ya mwanzo??Japo silazima yawezekana huna lakini waliowengi mnakuwa nao Unazanz...
Kwanini wanaume wengi wanaosafiri hasa kikazi tupo tofauti na wanawake mara nyingi wanaume ujikuta wanalazimika kuwa na mahusiano na hawaridhiki kwenda hotel kulala peke yao lazima wapate...
nataka kujua ivi mfano umemuona mmeo au mkeo ametoka mwa m/ke au m/me gest na mtu unaemjua kabisa ana h.i.v ...............na ukagoma kulala nae kwa madai ya kwamba mpaka mpime..........mkipima...
Hamjambo wapendwa, hope wote mmeamka bien, kwa wagonjwa na matatizo mbalimbali poleni. Leo nimepata kisa kimenitatiza kidogo naomba kushare nanyi wapendwa tumsaidie huyu ndugu. Huyu mkaka amezaa...
Alekhum waungwana ! dawa nayoileta kwenu ni hii si ya kienyeji ni ya kucheza na principles of love flow.ni hali ya kuhuzunisha unapoishi na mpenzi amabaye unajua kuna siku atakuacha aidha...
WOMEN have strengths that amaze men.
They carry children,
they carry hardships,
they carry burdens,
they hold happiness, love and joy.
They smile when they want to scream.
They sing when they...
WanaJF wenzangu hebu tuchek hii.........
The foundation upon which you build your marriage relationship is a mutually agreeable and mutually binding plan. That's what makes marriage successful...
katika jamii yetu imekuwa ikitokea mara nyingi kwa wanandoa pindi mmojawapo apatapo ajira hutokea kutomjali tena mwenziwake hasa kwa wanawake HII INATOKANA NA NINI?