Hebu chukulia kwamba mumeo amefikia mahali kwamba, hana anachokusaidia, yaani ni mzigo. Ni mzima wa akili, mwili na anafanya kazi, lakini hana msaada wowote kwako. Wewe ndiye unalisha familia na...
Hivi wanaume tuliooa tukijivua gamba na kusema kucheat basi je nyie wanawake mjini patakalika?au wengi wenu mtatia huruma?Maana wasio oa kila mmoja anamtuwe!
Mwanamke asipokuwa mwangalifu wakati akimuomba mwanaume amsaidie jambo, anaweza kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa ni njia au chanzo kizuri kwa ndoa kusambaratika. Kuna aina ya uombaji ambayo...
Wana JF, leo nimeenda kanisani na nimemsikia mchungaji anahubiri eti hata ukimkuta mke wako au mmeo anazini inabidi umsamehe.. Jamani hili linawezekana au ni hadithi za abunuwasi? MSAADA.
Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac...
Nina shaka sana, kwani WANA JF, huyu Rostam, kwenye speech yake toka.. matukio-michuzi: kauli ya mbunge wa igunga Mh Rostam Aziz wakati akijiuzulu leo, si ndiye aliyesema siasa ndani ya ccM ni...
Wanajf,
Natumaini weekend imeanza vyema. Kwa hivi karibuni nimekuwa nikifanya utafiti binafsi juu ya mahusiano nikagundua kwamba wanawake, hasa wanachuo wanadanganyika sana kwa sababu wengi wapo...
Hii nukuu imenikumbesha zile siku za balehe, karibuni msome na kutoa maoni yenu.
As I sat there in English class, I stared at the girl next to me. She was my so called "best friend". I stared at...
Eti jamani, kama tumejaliwa tuna kanyumba kako compicated kiasi, tuseme kama ka EL kule monduli, tukiajiri house cleaners kadhaa, wakisafisha nyumba nzima akuwa vibaya?
namaanisha vyumba vyote...
Sasaiv kamezuka kamtindo eti pale unapomtongoza dem au unataka awe mpenz wako,then unamuuliza ka ana boy anakwambia yupo na tena anasoma nje ya nchi huko U.K. au marekani,then unafanya upelelez...
Ukishangaa ya Maksimo ya Paulsen yatakukuta...
ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye wapangaji 4 wote wakiwa katika ndoa isipokuwa mimi. kuna rafiki yangu ambaye mara nyingi anafika kwangu hasa...
jamani wana jf nina mpenzi wangu tumekaa nae kwenye uhusiano kwa muda wa miaka miwili na tulikuwa tunapenda sana ila muda ukafika nikaamua nianze mikakati ya kuoa,nilipomwambia tu kuhusu ndoa...
Nimetendwa sana na nimezoea sasa hivi,hata nikipenda yaani nachukulia kawaida,hata akinitenda poa tu wala siumii,aniache asiniache ni poa tu.
Yaani sifeel kuwa ni special kwangu,namchukulia...
Kuna wanaume kwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wanavyoishi maofisini laiti wenza wao wangekuwa karibu nahisi asilimia nyingi wangekuwa juu ya kitanzi cha ndoa.
Kuna watu maofisini wake kwa...
Ikiwa imebaki siku moja tu kufanyika kwa shindano la miss universe kule Brazil(jtatu) imenibidi nikate tamaa kwa mwakilishi wetu kule (yaani Nelly Kamwelu).Nikiwa mmoja wa mdau na mkereketwa wa...