watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa...
Hivi kama ingelikuwa imetabiriwa Yesu kuzaliwa katika kipindi hiki, kuna bikira ambaye angepatikana kama Mariam alivyopatikana kwa ajili ya kubeba mimba ya Yesu manake kizazi hiki mhhhhhhhh!!!!!!
Jamani hii imekaaje.. Binti anajipeleka kwa mwanamume yeye kama yeye.... ... anajitongozesha.... mwamume ili aonekane ni mwanamume anaamua anzisha mahusiano naye.. kumbe hajui wazo la huyo dada...
hi! ihv ma girlfrnd na 2na 1yr kwny rltn,bt kila ninapomtambulisha kwa rafiki zangu hw anarespond negatively na hata frnd wakija kunipa hi home huwa hafurahishwi,even nikimwambia 2kawatembelee...
Kabla sijaanzisha huu mjadala, naomba wanawake wote wa JF wanisamehe kama mada hii itawa upset in one way or another.
Mimi binafsi kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu wanawake ndio maana...
Nimesoma mahali fulani mama mmoja baada ya kuolewa siku moja akakuta barua na nyaraka mbalimbali zote zimebadilishwa kuwa Mrs. Rose Pesambili - Pesambili likiwa jina la ubin la mume wake. Mume...
wanachama sasa tuanze kuandika ujumbe wa mapenzi ambao unakuvutia na ungependa kushirikiana na wenzako popote pale wanaposoma jukwaa hili karibuni sana
Jamaa kaja juu kwa sababu mke wake kamwambia ati anamuonea na kumfuatafuata kama "ana wivu wa kike". jamaa akamzaba kibao mkewe maskini.. baada ya kutulizana nikataka kujua kwanini jamaa...
Nimekutana na matukio ya baadhi ya wajukuu zangu ambayo yameniacha hoi,
Kwa wale walio kwenye mahusiano ya kimapenzi (bila kujali strength ya bond), ni taarifa kiasi gani anatakiwa kupewe wa...
Every person without any exception thirsts for happiness. But he does not know how and where he can attain it. Invariably he searches for it by acquiring wealth, status, position, name, fame, etc...
Habari wana jf! Najua mtakuwa mshawahi kusikia au kuona wanandoa au wapenzi wakiamua kupeana mapumziko kidogo baada ya kuanza kuhisi hali ya kuchokana inayotokana na kushuka kwa hisia za mapenzi...
Hi out there, salam salamWote tunajua, ila natia msisitizo na kukumbushana, hata (m)wanawake wanajua sana tu, wanapotembea au kupishana na wanaume au awapite (m)wanaume, huangaliwa kwa nyuma...
Watu wawili wanaopendana na kuishi kila mmoja kivyake ni tofauti sana na watu wanaopendana na kuishi nyumba moja.
Wapo ambao hujiuliza inakuwaje wapenzi wawili waliokuwa wanapendana na kuwa na...
wakuu ukiangalia harusi za siku hizi nyingi utakuta wasimamizi wa harusi sio mke na mume sasa ukifika wakati wa kufungua mziki unashtukia bestman mkewe huyu hapa kaja kuchukua mumewe na matroni na...