Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

hivi ni kwa nini wanaume ambao wameoa au wanao kuwa na gf wakichoropoka pembeni hawatumii kinga? naelewa kwa maisha ya sasa ku-cheat ni kawaida sana lakini basi tumia akili na utumie kinga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kila mu ana namna yake ya ku protect ajira yake. Kuna wengine wanachapa kazi sana, wengine wanawahi sana kazini, wengine wanazingatia perfection, wengine wanatoa rushwa ya pesa, wengine wanatoa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Hii kitu inaboa sana, utaskia, mbona leo umekua kimya sana? I hate that, mi navyojua kwenye mapenzi anayemkumbuka mwenzie ndo anatakiwa kum call no mata how many times...!! Hii tabia wanayo sana...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Hebu tuchukulie kwamba, umepata taarifa kuwa, kuna dada binamu wa mumeo ambaye alikuwa ameolewa na kuachika amefariki. Na amefariki kwa ukimwi. Wewe na mumeo mnakwenda kushiriki kwenye mazishi...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Naombeni ushauri wadau,nilikuwa miangaikoni nje ya mkoa ninaoishi takribani miezi miwili,nikiwa safarini siku moja mjomba(mdogo wake mama yangu tumbo moja) alikwenda arusha kikazi na huko ndo...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Kweli ndoa ikikaa miaka mingi inakuwa ngumu. Dah cku izi mambo yazaman hakuna hata kubembelezana hakuna. Uhuru nao hakuna. Outing zimeisha
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Salaam wadau, Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao. Yaani wanaume...
1 Reactions
87 Replies
7K Views
Cmwelew m2 huyu jamani.nafahamiana nae kwa miaka ming tu kikawaida kbs,nilimtambulisha mwenza wng,anafaham namtt.cha ajabu km wiki mbili mfululizo hv sahz anapga simu usiku tu akiomba tumit,mara...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu nimejifunza kitu kikubwa na ningependa kushare na nyie wenzangu. Katika dunia hii hakuna ndugu wala rafiki wa kweli. Katika rafiki zako wote ulio nao 99.9% si wakweli na ukitaka...
0 Reactions
73 Replies
7K Views
Dedicated kwa wale wanarudi kuangaika baada ya mapumziko ya Eid ul-Fitr na kuacha wapendwa wao.. wazazi, marafiki, ndugu etc.. Gregory Isaacs "Sad To Know (you're Leaving)"...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Aasalam aleikhum wana wa jamvi najua ni cku nyingi ha2jajumuika pa1 hapa.ok leo nimekuja na hili ni kweli kama una uhakika wa kupata maziwa hakuna haja ya kufuga ng'ombe?kwa maana kwamba kama una...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Amani ya Mungu na iwe juu yenu wapendwa wangu. Najua nimepotea machon mwenu kwa kitambo sasa,lkn sikua na tatizo lolote ni michakato tu ya kimaisha ndo ilifanya nikose muda wakuwa nanyi wapendwa...
26 Reactions
153 Replies
12K Views
WADAU SALAAMU!! NAANDIKA UJUMBE HUU SAA NANE NA NUSU USIKU IKIWA NI KILIO KIKUBWA CHA MSAADA. MIMI NI KIJANA WA KITANZANIA MWENYE MIAKA 29,MHITIMU WA CHUO KIKUU (BACHELOR OF PUBLIC...
0 Reactions
105 Replies
9K Views
Msinishambulie sana kwamba namnyanyapaa la hasha hata kidogo....................... Nimefanya nae kazi kwa ukaribu na kumsaidia sana katika mambo mengi ya kikazi, lakini...
17 Reactions
203 Replies
13K Views
Nashindwa kuamua ni njia ipi ya uzazi wa mpango nitumie,kwani zinazofaa zote zina madhara makubwa,sindano naogopa kitambi,kitanzi maumivu ya tumbo na kansa,kondom ikipasuka ni hatari na zingine...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani wapendwa wa MMU.. mnisamehe kwa lolote litakalotokea leo.. Mie ni muwazi sana.. nimeingia humu leo nimelewa.. so naomba sana ..muivumilie michango yangu.. Mambo ya sikukukuu... si mwajua...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Mine was waoo,Ajab!!!! What about u friends?
0 Reactions
9 Replies
974 Views
Chukulia kwamba, watu wa mtaani kwako wanaeneza maneno kwamba, wewe unatembea na mke au mume wa fulani, hapo hapo mtaani. Jambo hilo halina ukweli, lakini uzushi huo unapamba moto pale mtaani...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Simu yangu hupata ujumbe wa aina mbalimbali ukiwemo wa utani kutoka kwa wanaume na wanawake. Utani huo unaweza kuwa wa kimapenzi, kifamilia, kikazi au mwingine mwingi. Kwa kazi yangu utani huu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…