Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna watu wengi ambao wanaamini katika jambo hili, kwamba kama mtu hana wivu, ina maana kuwa hampendi mpenzi wake. Wanaamini hivyo, kiasi kwamba wapenzi wao wanapokuwa na wivu juu yao hujisifu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni miezi kadhaa imepita toka niachane na huyo msichana, nilimpenda sana lakini yeye hakuonyesha ushirikiano juu ya pendo langu kwake, kwani alifanya chocho alichojisikia akijua kuwa sita kuja...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
kwenye blog hii ya wakenya nimekuta kwenye mahusiano lawama na malalamiko ni kibao yaani hakuna anayesema ameridhika labda ndiyo maana kuna blogger mmoja huko Kenya aliwashauri wakike wao kuja TZ...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sex: Why it makes women fall in love - but just makes men want MORE! Sex is one of our biggest preoccupations — causing thrills, heartache and downright confusion. But until recently, exactly...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
click here asipokuja sasa sijui itakuaje
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimepewa mamlka halali ya mbinguni na duniani leo nasema leo kuanzia usiku huuu nakutangazia utakae mpata atkuwa mume wako ama mke wako wa milele kumbuka mungu ni mungu mweza yote natangaza uhuru...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mhh! ndugu zangu wana jamii f. Nisaidieni juu ya huyu shem wangu. My sis ananilalamikia na anaomba ushauri kwa haya: - Alikuwa mwema sana na upendo walipokuwa wachumba ahadi ndoa. - Ajabu...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Utafiti wangu nimebaini ya kuwa familia ndogo ambayo wazazi wanaweza kuihudumia bila kutembeza bakuli la kusaidiwa ndiyo siri iliyochanuka ya kuishi maisha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kufuatia swala la ndoa siku hizi kuwa fashion, nimeona ni vyema kuangalia mambo machache muhimu katika sheria yetu ya ndoa. Karibu kwa mchango na mawazo yako. Kumbuka sheria ya ndoa ni ile ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
ni miezi 5 sasa toka tulipoachana na mwenzangu but still she is in my head i dont want this, hali hii inanitesa sana nifanyeje ili nimsahau !!
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nisaidieni wapendwa nimefulia
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa hili swala wana jamvi. Ni kwanini ni sisi wanaume tu ndo tunawaita wapenzi wetu "my Angel". Mbona Wanawake hawatumii my angel kuwaita wapenzi wao?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimepita kwenye mtandao mmoja na nikakutana na huyu bibi harusi ambaye alimkamia bwana harusi kumwonyesha kazi kwa maana ya kumdhalilisha ili kulipa kisasi kwa kutembea na wapenzi wake wengi huku...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Amwua Mwanaye Ili Aolewe! Polisi wilayani Bariadi mkoani hapa inamshikilia mwanamke mkazi wa kijiji cha Mwamabu wilayani humo kwa tuhuma za kumnyonga mtoto wake wa kumzaa ili aolewe. Kamanda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani wana jf naombeni msaada wenu nipo njia panda nasijui cha kufanya.Full stor ni kwamba kama mnavyo elewa wanaume wengi kuwa na mpenzi mmoja (girl friend) wengi tumeshindwa kilicho nikuta...
0 Reactions
232 Replies
15K Views
Niliongea kuhusu mume kwenda nje kila mtu kachangia wazo but let me tell u truth guys mie siendi nje nai heshimu sana ndoa yangu na mume nampenda sana na nimezaa nae watoto 3, na mda ninao kwa...
3 Reactions
70 Replies
5K Views
Habari wana JF wote, Naomba nitoe shukurani nyingi sana kwa wanajf wote walionipa ushauri kuhusiana na thread yangu niliyoanzisha hapa kuomba ushauri wa nn cha kufanya baada ya kupata dv 4 ya...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Hebu tuchukulie kwamba, unaye shemeji yako, yaani mdogo wa mke wako, ambaye ni mwanamke mnayeishi naye nyumbani. Inatokea kwamba, huyu binti amekufumania na mwanamke mwingine. Wewe unamwomba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za w'end.....!!!Ukiangalia nchi nyingi za Africa, ukiacha Ethiopia, Somalia, Djibouti, na Morocco ambao wanawake wao ni warembo by nature, Tanzania haipo mbali, wanawake wengi pamoja na...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Heloo wana jamii,nimekuja humu kuomba ushauri na busara zenu.Mie naishi ughaibuni na wife(mbongo pia) na watoto wawili, m/mungu kanijaalia kazi poa na elimu ya juu tatizo huyu mwenzangu...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…