Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

mambo?samahani wana jf naomba mnisaidie na hili...mie nina boyfriend wangu ambae tumekaa wote karibu 22miaka miwili..slakini katika hii miaka kumekua na na matatizo ya hapa na pale..kuna watu...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Hata ndoa zenye afya njema bado hukutana na matatizo na tofauti kati ya ndoa imara na zile zisizo imara ni namna matatizo yanavyoshughulikiwa hasa matatizo madogomadogo. Pia wapo wana ndoa ambao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
nawasabahi kutoka moyoni, natumai mu wazima wa afya njema. Naombeni mnisaidie jinsi ya kumsaidia huyu binti yangu apate ahueni ya mzigo wa mawazo yanayomfanya alie kila cku. Kisa ni hiki...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
"say there is a woman in a room with 10 men, and all 10 men are telling her how beautiful she is, and how amazing she is and they are lighting her cigarette and buying her drinks and just...
1 Reactions
26 Replies
12K Views
Haijalishi wewe maarufu namna gani linapokuja suala la kitandani huwezi kujua hadi uwe hapo Tunapozungumzia mwanaume kushindwa kitandani (impotency) tuna maana kwamba ni mwanaume kutokuwa na uwezo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Vizuizi vya kufika kileleni! Wanawake wengi huolewa wakiwa na uhakika kwamba mwanaume anayeoana naye anajua misingi ya masuala ya tendo la ndoa, ukweli ni kwamba wanaume wengi bado huwa hawajui...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Unaweza ukapaka lipstick ya nguvu na bado kinywa kikatoa maneno yasiyo ya baraka! Usitumie neno talaka Naomba jiulize kidogo hivi ni mara ngapi kunapotokea mgogoro katika ndoa yako umekuwa unawaza...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
signs you have a cheating wifeOne of the major signs you have a cheating wife is if you spot any changes in her behavior, so if she's alwayseen a guy's girl and has a lot of male friends, don't...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wadau naomna tumsaidie huyu jamaa.. "Mimi ni kijana wa makamo ambaye nimebahatika kupata mchumba ambae tumefahamiana kwa takribani miaka 2 sasa, she is perfect in many ways kasoro tabia moja tu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
hivi unakumbuka siku na saa uliyopoteza bikra yako? Kwa grls ni rahisi kukumbuka, boys kunautata, to be honest mm sikumbuki,,,
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Thursday, July 30, 2009Chunga sana mdomo wako! Sisi wote huwa tunaongea na marafiki na watu wa karibu kuhusu ndoa zetu, hata hivyo mambo tunayowaambia marafiki ni muhimu sana na huweza kuleta...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana...
2 Reactions
61 Replies
24K Views
Unapoishi nyumbani na ndugu yako, jamaa yako au hata mtumishi wa kike, ni vizuri ukajitahidi kulinda ndoa yako. Kumbuka kwamba, wanaume hawajali hisia, hujali zaidi mwili. Kama ukimwachia ndugu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!! inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB teh teh
0 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Closed
Good morning. I am Abdelhak, from Algeria, but I live in the U.K. I favored to write in English because I have a bit of a broken Arabic. I always watched your lectures on Ikra TV and ever found...
0 Reactions
59 Replies
4K Views
Maadui wa mwanamke kufika kileleni Si utundu na ujanja wa mwanaume tu unaomwezesha mwanamke kupata utamu wa kufika kileleni (mshindo, orgasm, coming) bali mwanamke pia anahusika.Kufika kileleni...
3 Reactions
5 Replies
14K Views
Polen na hasira za kusafishwa kwa jairo wakuu!ebana,nlikuwa na gf wangu mmoja hv,miez ka mitano hv 2lipgana chini{2liachana},tangu hapo mwenzangu ananiambia eti ameokoka,hii ni kwel au 2 njia ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
#Kwa mlio kwenye ndoa naombeni ushuhuda wenu,... #na kwa mlio kwenye uchumba toeni duku duku lenu pia (nipo kwenye kundi hili),... #kwa mnao tafuta someni kwa makini mtajifunza kitu. Katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimelazimika kujiuliza maswali mengi zaidi leo alfajiri baada ya tukio la kusikitisha; usiku wa leo saa tano nikiwa nimelala niliamshwa ili kumkimbiza hsptl bint aliyekunywa betri acid baada ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…