Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jaman wana jf nina tatizo moja kwamba kila msichana ninayeanzisha naye mahusiano ya kimapenz huwa hajatulia na mpaka sasa nina miaka 23 nahitaji mchumba wa kufumga naye ndoa je nifanyeje?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Je, umeshawahi kusikia mtu anashitakiwa kwa kuzini na mke wake wa ndoa? Ni swali la kuchekesha kidogo, lakini ukweli ni kwamba, jambo hilo, limeshawahi kutokea.Wapi na kwa nani? Ilikuwa kwenye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
wana jf,haka kamchezo sio kazuri leo nimepewa kisa na mshikaji wangu hapa nilipopanga mshikaji kamtokea demu hapa jirani kitambo kabla mie sijahamia na akafanikiwa kuwa na huyo demu ila baadaye...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Natamani tu-share na wewe mwanajamvi, Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"? Tupeane xperience! As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood" Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
hey ladies... there is something that i fail to comprehend. most ladies claim to know that most guys just want sex but yet wen a guy is upfront abt wanting to have sex with u, you take offense to...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Licha ya kwamba watanzania wana matatizo mengi hasa ya kiuchumi na kisiasa bado tatizo la mapenzi, mahusiano na urafiki ni changamoto yao ya kila siku. Utashangaa nikikwambia kuwa MMU (Mapenzi...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Nipo katka mahusiano ya kwel,kwan katka miaka3 sijawah kumsalit nimpendae,cha kushangaza wivu umepitiliza,nisimtumie rafiki au mfanyakaz mwenzang mesej nikimwambia mic u.ugomv,akiniona napga stor...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
..Habari ndio hiyo, Wanawake sasa wataweza kukojoa wakiwa wamesimama kama Wanaume baada ya Ugunduzi wa kifaa hiki. Duh hizi haki sawa sasa zinapitilizasource: JD Blog
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Wapendwa MMU, Salaam kwenu wote in the name of love. Wadau, kuna kijana mwenzetu mmoja amekumbwa na mkasa mzito saana. Miaka kama 2 imepita, akiwa kwenye daladala aliachiwa mtoto na mwanamke...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Mine are: 1. My daughter - she's my #1 fan, my pride and joy, my flesh and blood, my everything. 2. My parents - what can I say...If it wasn't for them I wouldn't be who I am today 3. Water -...
0 Reactions
72 Replies
5K Views
Dah natamani huyu mwanamke angejua kwamba after all those years she is still the only woman i ever think and dream damn!
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Asallam aleikum wanajf. Jamani kuna shemeji yng alimpa msichana mimba na kumkatisha masomo na kuamua kuish naye tn bila kuwajulisha wazazi na ndugu zk. Wazaz wa mume walipogundgua wakamshaur...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello JF! Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Wapendwa WanaJF. Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri. Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa...
10 Reactions
515 Replies
29K Views
2 ma syd i think this is tru! how abt u jf member?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni msichana mrembo, msomi, aged 26, kuna kaka mmoja (30) ana mke wake na watoto wawili,he is handsome, has a cute wife ,familia yake ina furaha, Mada> huyo people kanizimia kitambo na for...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari za zenu wakuu nimamkini mpopoa. Wahenga walisema sikio halina mpaka. cku ya leo nimepata kusikia malumbano ya wawili ambao nawafahamu kiasi ila walikuwa wanalumbana kuhusu mambo ya kudu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Source: Power FM Radio Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa...
1 Reactions
92 Replies
15K Views
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…