Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nii wakati mwingine wengine wanaweza kujiuliza delila ni nani kwa wale wanaoua neno la mungu wanamjua delila alikuwa mke wa samson...alimpenda saana sana lakini kulitokea wafilisti wakimtafuta...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Moto Umezima SWALIMimi na mume wangu tumekuwa kwenye ndoa sasa ni mwaka wa 11, maisha yetu ni mazuri sana kila eneo la ndoa yetu isipokuwa suala la sex. Najiona kukumbuka sana namna moto wa...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Hapa ndio mahali unaweza pata msaada wakati wowote, sinamtu mwingine naweza wasiliananae kwa sasa. Naomba maombiyenu ili tufike salama. Hali ya hewa sionzuri ninakokwenda, tumekaa hewani more than...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Produce milk without eating grass Bleed for four to seven days without drying Bury a bone without digging a hole Make a man come without calling him Add yours
0 Reactions
5 Replies
977 Views
Binafsi nashindwa kuwaelewa hawa ndugu zetu wanaokuwa na wake zao halafu wanapiga kambi kwa wanawake wengine (nyumbandogo/kimada) kwani binafsi ninavyoamini ni kwamba hao wanawake wa upande wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
I have just contributed 1usd dollar to wfp to help fight hunger and help the needy to feed. I encourage you wakuu to do the same,if we are blessed with a little then letc share with our fellow...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Mambo wana JF, waugwana na jambo linanisugua roho mpaka nakosa usingizi, kuna mdada amechukua mume wamtu juu yakua anajua kama anamke na watoto na yeye ni mkristo huyo mdada, kwakua ndoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani eeh hivi inapofikia umri fulani ambao inaonekana sasa mwanamke au mwanaume anatakiwa kuwa kwenye ndoa na bahati mbaya anakuwa bado hajaona mwelekeo, nani anakuwa desperate zaidi kuingia...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja line zake) yeye achukue...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
jf naomba kufahamishwa zaidi mbona siku hizi kila dada/mama unaemtongoza an wakati mwingine wengingine wakutaka wnyewe kuna nini kinaendelea kwetu madume ya mbegu maana hamna anaekataa offer anayepewa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kati ya mwanamke na mwanaume nani mvumilivu ktk relationship..yupi anakuwa anacheat zaid?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf,kuna rafiki yangu wa karibu sana amepata tatizo hili hapa na anaomba mumsaidie ushauri.naomba ambae hayuko serious asichangie kabisa. Rafiki yangu ana boyfriend ambae...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Today everyone bemoans the short life span of marriages in our society. Till death do us apart has now been shortened to just a few years or maybe even months. Sometimes, despite the hard work of...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Am in a very very bad situation! Niliyempenda anapendwa na wengi. Kwa moyo wangu wote nilimdondokea, nikampa kwa kadri ya uwezo wangu, leo penzi limenitoa chozi. Nilidhani twashabihiana kwa tabia...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Polen mliozaliwa hivi karibuni'wenzeni tulianzishaga pati za kutafuta wenza ingawa weng waliishia kupotozeana muda na leo wanakutana kwenye shere kila mtu na bwana wake anyway ni moja ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Imenishangaza sana hii. Kuna mama mmoja anamiliki mini-supermarket moja hapa A town alitupatia tenda ya kumwekea CCTV kwenye biashara yake. Watu wa installation walifanya kwenye angles...
0 Reactions
99 Replies
7K Views
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1. Je anaona fahari kukutambulisha kwa ndugu rafiki na jamaa zake kuwa wewe ni mtu wake? Au huwa anakaa kimya tu? Kama hutambulishwi jua wee ni kama door mat. 2. Je anaona fahari kuongozana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…