Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Hongereni wote
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
sikujua akina mama kumbe nao kweli wanaweza hadi nilipoisoma hii habari..............Ajinyonga kwa kuchoshwa na vipigo vya mkewe
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Huyu jamaa anaitwa Paul,anaishi katika manispaa ya Moshi,ana uhusiano wa kimapenzi na Ex wife wa mjomba wake,anataka kumuoa anataka kujua kama atapata baraka za ndugu na jamii inayomzunguka,wewe...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
kwanini wanandoa walio wengi wanatoka nje ya ndoa?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wandugu kwema? Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu. Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa...
2 Reactions
143 Replies
12K Views
Kama ndoa yako imefikia hatua hii basi ni heri kurudi kwa Kasisi kurekebisha mambo!
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Watu wengi huwa wanajaribu kuunga mkono suala la kutoa mimba pale ambapo wahusika hawakupanga kupata mtoto. Wengine hutetea kitendo hicho eti kama msichana akibakwa basi anahaki ya kutoa. Kuna...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
nani anahaki ya kuhudumia wazazi kati ya mtoto wa kike na wa kiume?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja.ni rafiki yangu tunafanya naye kazi na tumetoka naye sehemu moja. Huyo dada aliunga urafiki wa kimapenzi mwaka juzi na kaka mmoja anafanya kazi wizara ya ardhi uhusiano wao...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
I want to see it, have it, feel it and live it!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vumilia vumilia wewe wakati wa kuvalishwa shela aujafika usife moyo ndugu yengu leo naleta neno la unabii mungu anasikia sauti yako na wala ajakuacha yeye alishinda sembuse hilo mungu anasema...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Big up brthers and sisters Naona mko safi Jumapili natumaini itakwenda shwari, Ni vizuri unapoanza kufikiria ndoa ujue kuna majukumu kadhaa kama mwanandoa ujue jinsi gani ya kuyashinda. Husika na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hata uwe mzuri kiasi gani hata uwe na elim kiasi gani hata uwe na utajiri kiasi gani mwisho wa siku lazima uwe na mwenzako ..swala si tu kuwa na jina umeolewa la hasha unaitaji kuwa na mwenzako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mshukuru mungu kwa kukupa mume jamani..kumbuka pesa alitumia kwa ajili yako mwanandoa angeweka banl pengine na yeye angekuwa anahojiwa kama mwanasheria wetu kule lakini ni mapenzi ya mungu...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Kinachoshangaza ni kwamba wanandoa wanapokutana na matatizo katika ndoa yao, wazo la kwanza kuja ni “kwa sababu nilioana na mtu ambaye si sahihi” inaweza kuwa kwa nyakati fulani au kwa mtu fulani...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Praise god hongera kwa kuiona jumapili ni wachache sana wanahangaika pale icu kuiona leo lakini si kwamba umetenda mambo makubwa sana la hasha ni kibali cha mungu na neema yake basi nakutakia...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Baashi ya tafiti zinaeleza kuwa iwapo mwanamke anahitaji ngono mara moja kwa siku 20, mwanaume anahitaji kila kwa ndani ya siku hizo 20. Ila uwiano unabadilikabadilika, wapo wengine ni 1:10, 1:15...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom