Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kumradhi wakubwa zangu!kama wajua naomba unifahamishe. mm niko mbioni kuoa,nataka kujua je ni mara ngapi iliyosahihi kufanya mapenz kwa wiki?(kwa ajili ya afya).
0 Reactions
13 Replies
2K Views
0 Reactions
1 Replies
967 Views
SIKATE TAMAA WEEKEND HII
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani mi nahisi nimelogwa kila ninapota kuachana na huyu jamaa najikutanimerudiana naye, mbali navituko anavyonifanyia ikiwemo kunicheat na nimeshamfumania na mwanamke ambaye ni X wake mara...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanajamii, ni asubuhi hii ya leo forwadiwa mail yenye Kituko cha Karne. Nimesoma, inaonyesha ni habari ilitoka kwenye gazeti fulani. Sikubahatika kulisoma gazeti hilo. Inawezekana pia habari hii...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Find a guy who calls you beautiful instead of hot, who calls you back when you hang up on him, who will lie under the stars and listen to your heartbeat, or will stay awake just to watch you...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kama ilivyo kawaida ya jamvi, penye wengi pana mengi na hakika haliharibiki neno. Hapa nina swali moja, hivi kuna ulazima wa maumbo ya mawili kati ya wapenzi/wanandoa kuendana ili kufaidi tendo...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
...Maisha yanapelekea wengi wetu kujikuta tunaingia mahusiano mapya tayari tuna mtoto/watoto. Ili kuondoa ile hofu ya baba/mama wa kambo si sawa na 'mzazi'...Je? wazazi wapya (Step parent) tuna...
6 Reactions
102 Replies
8K Views
last wk nlihudhuria send off moja maeneo ya Tabata jijini dsm, wakati bibi harusi anatambulisha ndugu zake mwisho akamtambulisha X-boyfriend wake nanukuu '" napenda kumtambulisha mwanaume wangu wa...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Nimepitia hii makal na nikaona nisiwe mchoyo lol...........................jisomee kama una muda na kama huna usijali nitatoa ufupisho wake hapo chini................ Kwa akina dada sababu ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hebu fikiria, umekaa na msichana wako kwa zaidi ya miaka saba, tangu mkiwa shule hadi mnamaliza chuo, mnafunga pingu za maisha na kubahatika kupata watoto wawili. Mkeo ana umbo zuri, licha ya kuwa...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Hivi kuna mtu yeyote anaeweza kujitosa hapa akasema na kuthibitisha kwamba kwenye UKOO wake wote hamna wezi..wadada wanaojiuza... wadada warahisi kupatikana...watu...
11 Reactions
47 Replies
4K Views
Kuna kijimvua na hali tulivu kabisa. Hakuna majotro, hali hii inahamasisha sana bia na nyama choma, kisha umalizie na totoz bila ya kusahau matumizi muhimu ya condom
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamanni nimerudi tena na matatizo yangu,,hili janaume linataka roho yangu sasa, coz anafika mbali mpaka wageni na ndugu zangu sasa anawatongoza..me nimefika mwisho, nishaurini tena,, nafikiria...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Huwa tunahitaji nini kuwaonyesha wenzetu kuwa tunawapenda na kuwathamini? Je huwa tunahitaji kuwadanganya mara zote ili kuwapa faraja kwa yale ambayo hatuyafanyi ili kuwamiinisha na kuendelea...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ndani ya Pochi ya Wife jamaa anakutana na Business Cards kibao..anaanza kuzisoma.. mara anakutana na moja inayosomeka Bernad. J. Kululetera...Ni HRO wa Kampuni moja hapa Bongo...Kumbukumbu...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Salaam wana JF. Siku kadhaa zilizopita nilitangaza hapa JF kwamba natafuta mchumba. Siku moja nikiwa kwenye gari nilipokea simu ya dada mmoja nisiyemfahamu na wala hakutumia namba za simu...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Wana JF naombeni ushauri wenu kati ya hawa (mwalimu,nesi) ni yupi anafaa kuoa? & why?
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Huwa nashangaa jamii jinsi inavo kuwa selfish na biased. Inasistizwa sana kwa mtu asie olewa kutofanya mapenzi mpaka atakapo olewa. Sasa endapo itashindikana kuolewa je jamii inamshuri nini...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Back
Top Bottom