Men are frustrated with women
because they never want sex.
Women are frustrated with men
because they always want sex.
Women blame men they dont
know how to love.
Men blame women that they...
habari zenu wadau wa JF: sijui mimi ndo nimepitwa na wakati au ni vipi, yaani sielewi inakuwaje mwanaume rijali ( sio shoga) anapaka poda, anachonga nyusi (naskia wanawake wanaita kutinda nyusi)...
jaman ndo inatokea kila mtu au ni mm tu.?tangu tumeachana na aliekua mpenz wangu nikikaa nikiona kitu kizur na mkumbuka i wish to buy for him,nikilala naota we ar together nikisoma stories nnampa...
Nilipokuwa nasoma Kenya kuna kipindi walitoa takwimu kuhusu waume kupigwa na wake zao.
Kama sijasahau, it was an alarming 43% in the lake zone!
Sasa jana kuna jambo lililotokea;
Nikiwa naenda...
Kwa kweli uswahilini kuna vituko, hii imetokea mtaani kwetu wikendi hii..........Jamaa katibuana na kimada wake na katika kumaliza hasira zake akaamua kumpigia simu na kumtukana huyo kimada! Sasa...
Have you ever wondered why someone would be so lonely, sad and empty courtesy of a marriage that turned out to be far from what they dreamt of? Have you ever questioned why we dont pull the plug...
ilikuwa furaha bin happy siku nilipompeleka mchumba kwa utambulisho kwetu.
Wana JF kwenu ilikuwaje?
29th June 2011 12:40 PM Familia ilivyoshangilia siku nilipompeleka kwetu mchumba.jpg
Idadi wanawake duniani inazidi kuongezeka wakati wanaume ni wachache na wanazidi kupungua. Je pawepo na utaratibu kila dume liwe na wake zaidi ya mmoja?
Wazazi wa vijana hawa wawili wanaishi pamoja kama mume na mke,na wameishi hivyo kwa miaka mitano,lakini wote wawili wana umri mkubwa,baba 52 mama 50,wakati wanakutana wote walikuwa na watoto hawa...
1.Bachelor Husband
These are men who
* Love to do things on their own without consulting their wives
* Love to hang a lot with their friends rather than their wife.
* Not...
Mimi ni mkaka wa miaka 25. Nahitaji mchumba ambaye baadaye ataitwa mama wa watoto wangu. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji ni mwenye umri kati ya miaka 19 hadi 27...
Rafiki yangu ana kimwana wa Kichina, wanataka kuona.
Kuna tofauti kubwa sana sana za kiutamaduni. Mchina anataka kwa mwezi njunji mara moja, jamaa yetu anataka kila kukicha.
Ugomvi wao mkubwa ni...
Kuna ofisa wa serikalai idara ya ukaguzi ofisi ya elimu wilaya ya babati,amekwishawaingiza watumishi wenzake na hasa walimu katika madeni makubwa kwani ukisha tambulishwa kwake atajifanya kuwa...
Local teen a magazine cover girl[/h]Lester B. Pearson student juggles school life with promising modelling career Perez Hilton compares teen to Naomi Campbell
Herieth Paul at Angie's Model...
Asilimia 40 (40%) ya wasichana wanaangalia naKupenda ..Hiki ............ kabla ya kudate mwanaume..JE ni nini?? Waweza hisia mara nyingi upendavyo..All the best ...
Juzi kuna mtu (mwanamke) alikua analalamika jinsi mume wake alivyosababisha mpaka akabadilika na kua tofauti kabisa na alivyokua mwanzo....wapo waliounga mkono...waliotoa pole pia kushauri.Tatizo...
HATA KAMA ULIWAHI KUIONA HII, SOMA TENA NA TENA, INA MENGI YA KUJIFUNZA JUU YA MAHUSIANO YETU NA SIMU ZA VIGANJANI...PENGINE ZINACHANGIA SANA KWA WATU KUTOKUWA WAAMINIFU AU WADANGANYIFU NA NDIO...
Great thinker ni mara yangu ya kwanza kuweka bandiko humu jf,nimekuwa nikitembelea kwa muda hadi nilipoamua kujiunga na nimeona baadhi yenu mkitoa ushauri mzuri tu kwa watu wanaopatwa na masahibu...
Habari zenu wandugu,
Kuna jambo nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa baada ya kuona mara nyingi tumekuwa wepesi wa kulalamika na kulaumu kila wakati huku neno shukrani likiwa mbali na midomo yetu...
Jamani, mi ni mgeni kabisa hapa JF. Ila tangu niingie, nimekuwa nasoma zaidi kona hii ya MMU. Na ktk somasoma yangu nikagundua kuna hili hali mi nashindwa kuielewa kabisa ingawa inatokea mara kwa...