Wapendwa Habari za weekend?
Najua karibu kila mmoja wetu amewahi kumkosea/kosewa mwandani wake, awe mume/mke, mchumba, boy/galfriend, nyumba ndogo/ATM/MBA wake. Sisi sote tu binadamu na kukosea...
Nimezaa nae watoto wawili,tumeishi miaka 12,nampenda sana ila alishanihakikishia katu hatobadili dini,iwapo nataka mke mkristo nioe,wanangu bado wadogo mmoja miaka 7,wa pili miaka 4. Kiimani sipo...
Ukweli napowaona wanaume wenzangu hasa wanaopenda sana wanawake/mademu huwa najiuliza maswali kibao kuhusu hizi lolipop! Utakuta mtu anajisifia eti ashatembea na wanawake kibao wakati mwingine...
tunawashukuru sana wadau wanao tembelea huku kusin na slogan yao ya dondosha mkono sweta jamani kwa wale ambao wapo na hawaja dondosha mkono sweta tafadhari waungeni mkono hawa jamaa
Dada huyu ni mtoto wa mama wa kambo wa rafiki yangu niliyesoma nae shule ya msingi;huyu dada yetu ni mfanyakazi wa kampuni moja ya usafirishaji,ameolewa,tatizo ni kuwa ali wahi kuwa na uhusiano na...
) Dress to Kill - all the time: No I don't intend that You wear that $5000 suit to the grocers or the Rolex to walk the dog. What I want you to do is is to dress decently each time you hit the...
Habari wakuu,jamani naomba kufahamishwa jambo moja linalo nisumbua kichwa changu,
kuna binti mmoja mwenyeji wa kilimanjaro,nina mpenda sana na tumepeana ahadi ya kuishi pamoja katika maisha ya...
Natafuta mchumba jaman kijana mtana shati wa kitanzania nina umri wa miaka 24 mrefu mweupe nataka binti anayejiamin mrefu wastani miaka 18-23 awe na elimu angalao kidato cha sita na kuendelea kana...
Yani humu ndani kina Da Sophy wanatamani kuninyonga kwa msimamo wangu wa kupinga aina hii ya uzazi. Narudia kusisitiza kuwa si haki hata kidogo kwa mwanamke kukusudia kumzaa mtoto katika mazingira...
Kumbe baadhi ya story za magazeti ya udaku wanazitoa hapa jamvini...Hii nimethibitisha ile story ya Asprin
''Ulikuwa wapi siku zote...eeh!! wamecopy na kupaste katika gazeti la Risasi...
Real tears are not those that fall from the eyes and cover the face, but are those that fall from the heart and cover the soul.
I don't have tears on my face but my heart is crying tonight. Nami...
Wapendwa wana JF Dada's , Heshima yenu nyote ....... shikamooooo!
Mie naomba kuuliza au kufahamishwa nafasi ya uvaaji wa nguo ya ndani = ch.u.p.i na bra katika kuhamasishwa tendo la ndoa...
Sijakosea jukwaa maana kuna walioanza kununa, mwezenu nyumbani kumeanza kuwa kuchungu baada ya wifi yenu kuanza visa baada ya vikao vya bunge kuanza. Wiki ya kwanza alianza kama utani eti anataka...
Kuna binti amejenga urafiki na wife siku za karibuni, sasa ameanza kamchezo ka kunipigia sm na kunambia maneno yanayoelekea kunishawishi nimlambe. Swali nimpe mambo au nimwache.
Kila nikirudi home huku napepesuka na kuyumba yumba, na mara nyingine nikiwa sina kumbukumbu viatu nimeacha wapi.
Mke wangu huwa ananipokea kwa upendo na upole sana na kuniimbia huu wimbo wa njoo...
Marafiki wangu wote wa JF najua pahala la kuwapata...chumbani humu kwa MMU...nimepotea siku nyingi kiasi.....sio kwa ubaya...jamani KULEA! kabinti kangu kamefikisha miezi sita jana....kazuri...
Huwa inatokea watu wanakuwa wapenzi kwa kujilazimisha/kuhofu asipokubali itakuwaje. 1.Chukulia mfano, dada aliye katika matatizo makubwa, mkaka akatokea akamsaidia kwa kila hali 2. Chukulia watu...
jamani penzi langu limeangukia kwa mtt wa kihehe sina wasifu wao mzuri moja nililopewa kuu ni kwamba wana hasira sana sasa nahitaji kujua mengi jamani kuhusu hawa watu naombeni michango yenu najua...