Laiti wanawake wangekuwa wakinuna hivi wanapotongozwa basiukimwi ungepungua sana lakini leo hii kila akisalimiwa binti ndio kwanza anauliza b/card sasa duh kesho yake lazima mtu aumie sijui kama...
Dear wapendwa
Tarehe ya 20 june nilifikisha miaka 3 Rasmi ya ndoa na mwaka Mmmoja rasmi wa mwanangu Faith P Didy
Pengine nilitamani kuifurahia siku hii tar hiyo bahati mbaya sikuwa dar es laama...
Jamani ni miezi michache iliyopita nilimwomba dada mmoja uhusiano na nilimpenda kweli. Akaanza malingo mara hapokei simu , mara majibu mkato etc. nilileta hapa jamvini watu wakasema hiyo ni dalili...
Nina miaka 24 ninasoma chuo sijawahi sex hata siku moja hivyo nimejawa na hofu kubwa sana kwamba itakuaje hiyo siku hivyo inapelekea uoga wa kuwa na uhusiano na msichana kwakufikiria itakuaje...
Looking for a husband? Or a wife? Want to know the single biggest mistake you can make? Its not dating enough! And why is that?
Well, things like making a sale for example, finding a new job, or...
Ms Rita Muchiri wants to get married. And like many women, she has set standards for the kind of man she hopes to settle down with.
He should be tall, brown, financially stable, well-educated...
Wale wenzangu na mimi tunaopenda kufanya tafiti nyepesi nyepesi za maisha mtaani utajagundua wasichana wa siku hizi wanapenda zaidi kuwa na wanaume za watu kuliko vijana wenzao ambao ni single...
Jamani kuna hii theory kwamba msichana ambaye ni wa mwisho kuzaliwa nyumbani kwao mara nyingi huwa anakuwa amedekezwa sana kwa hiyo hafai kuolewa. Hafai kuolewa kwa sababu anategemea kuendelea...
Sasa nakufikirisha hivi vitu vikusaidie, inawezekana kabisa hujafikia umri wa kuoa au kuolewa, lakini ninakuambia weka maombi yako ya akiba, (sijui kwa upande wako, lakini mara nyingine huwa...
Mambo wana wa JF!!
Nimejaribu kufikiria sana hili jambo nimeona nililete jamvini tulijadili, tokea nianze kutongoza mabinti sijawahi kusikia Binti anasema nina mpenzi au kijana anasema nina mpenzi...
Nipo hapa stand ya mabasi Moshi mjini ambapo dada mmoja amepata msaada kutoka kwa konda aliyemwingiza kwenye basi (kosta) ili kumwokoa kutoka kwenye kundi la vijana waliokuma wakimzomea na...
Habari ya asubuhi/mchana/jioni wana jf.
Harakati za kutafuta mwezi wa maisha sio kitu rahisi at all,nasema hivyo kwasababu ukimessup hapa bwana utaingia gharama kubwa sana.
Sasa unampenzi wako...
Kwanye taarifa ya habari saa 2 ITV nimeona na kumsikia Daktari mmoja akielezea mipango ya kuwatahiri jamaa mia kadhaa, huko Mbeya ili kupunguza uwezekano wa kutokea maambukizi mapya ya HIV (VVU)...
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala...
Uamuzi wa kuoa au kuolewa ni muhimu uwe mwangalifu nao,
kwa sababu utakufanya uwajibike zaidi.Kama hujawa mtu wa kuwajibika, basi, hujawa tayari kuwajibika, kwa hiyo usiingie kwenye ndoa! Kuoa au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.