Habarini ndugu zangu,
Kuna post ya REV FR ya hivi karibuni alitupa mambo flani muhimu kuzingatia ili inapofika 6x6 mambo yanakuwa muruaaa.Akaongelea pia umilikaji wa vitambi unavoweza kupunguza...
Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, akijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku hizi amebadilisha laini. Sijui nimshauli je...
Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand...
NIMESOMA HII NIKAONA NIWEKE HAPA WAPENDWA NA KWA ALIEITUMA NAFIKIRI UKUE USIDANGANYE UMMA TENA JUA HIZI WEB ZINASOMWA NA WATOTO NA WENYE HSEHIMA ..UNAPOSEMA MTU AJIACHIE KWA WAANAUME KISA AMEFIWA...
Ndugu, ule wimbo wa Allykiba ambao unabamba ktk chati za muziki za station mbalimbali za radio hapa Bongo "MAPENZI YANA-RUN DUNIA" natumai mmeusikia/mnaufahamu.. maudhui yake ni wazi yanaeleweka...
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa...
Jamani hiki kisa kimenifanya niwaze sana! Kuna bishost mmoja (tupo nae ofisi moja) yamemkuta makubwa! Bidada alikua na boyfriend hapa ofisini. Mambo yalionekana kuwa sawa baina yao mpaka majuzi...
wadau, ukweli ni kwamba kama wewe ni mwanaume na katika suala zima la unyumba au kungonoka, wewe ndio kila siku unaanzisha game na kubembeleza tendo ujue mkeo hakufurahii na humridhishi. Kama wewe...
When I Look At You Lyrics
Everybody needs inspiration,
Everbody needs a song.
A beautiful melody,
When the night's so long.
Cause there is no guarantee,
That this life is easy.
Yeah when my...
Wako ni wa aina gani?
Mara nyingi kuna usemi kwamba kwa mwanaume kawaida ana kitu kimoja tu ambacho kinaweza kumfanya apate hamu ya kufanya mapenzi nacho ni kitu chochote. Najua hujanielewa...
Ukiamua kuoa au kuolewa, wakati mwingine
imani yako inaweza ikabadilika.Wasomaji wa biblia wanamfahamu mtu mmoja aliyeitwa mfalme Sulemani (unafahamu ni kwa nini aliandika kitabu cha Mhubiri...
Jamani mwenzenu nina kitu sijui niite tatizo ama? nikikutana na mtu mara ya kwanza akawa too nice to me, yaani akinichangamkia najisikia kuwa embarrased sijui kwanini. Najisikia kama sistahili...
Kuna rafiki yangu anampenda dada mmoja, alijalibu kumjengea mazingira anamukwepa. Alishajua anampenda la kushangaza alianza kwa kukata simu zake, siku amebadilisha laini. Sijui nimshauri je ili...
Nawasaimu wote wana Jf
Unakuta umekutana na msichana unampenda unamtokea anakukubali na mnakuwa marafiki ila mzazi wake (mama)
anafahamu baada ya muda yule binti from no where anakwambia hakufeel...
Unakuta una mtarajiwa wako kwenye mizunguko au mpo kwenye starehe zenu
za weekend rafiki yako anakupigia simu kwa ustaarabu unaenda na mchumba wako
pale yule rafiki yako mnakaa pale ila anakuwa...
Are Men Who Flaunt Flashy Cars Not the 'Marrying Kind'?
Conspicuous spending often driven by desire to have flings, researchers say
-- Mary Elizabeth Dallas
SATURDAY, June 18 (HealthDay News)...
Juzi nilikuwa maeneo ya Ubungo ambapo nilikutana na dada furani akiwa na watoto wa2 na mizigo kadhaa na baada ya kusalimiana aliniomba nauli ya daladala ili aende Tegeta kwa dada yake kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.