Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

“Je! Uko tayari kuolewa na nani”Wengine hawafikirii namna hiyo, ukiwauliza uko tayari kuolewa na nani, anasema na mtu aliyeokoka. Bwana anawajua walio wake, hakuna mtu kwa jinsi ya nje atakayemjua...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
HILI SWALI NI GUMU LAKINI MUHIMU SANA AIJALISHI NDOA YAKO NI KESHO UNAWEZA BADILISHA MAISHA YAKO YA UCHUNGU MIELELE KWA SEKUNDE MOJA YA UAMUZI Je! Uko tayari kuoa au kuolewa?Ni swali muhimu, uko...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Uamuzi wa kuoa au kuolewa, unaweza ukabadilisha utumishi wako na wito wako kabisaNgoja nikutolee mfano wa kibiblia. Unamkumbuka mtu mmoja aliyeitwa Samson, alimwoa dada mmoja aliyeitwa Delila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Married men should be careful not to retire before their wives because there will be no one at home to look after them, according to a new study. While wives report that their health begins to...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Hili limenishtua sana baada ya kijana mmoja kule Welsh kukiri ya kuwa alimwua ex-GF kwa sababu ya kuahidiwa kifungua kinywa kwenye mchezo wa kupinga..........bet........................read 4...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wanajamvi,natumaini wote wazima kabisa na mnaendelea na shughuli zenu maofisini na nyumbani pia. Napenda tu kuelezea kwa kifupi jinsi Scam/spams za internet zinavyoenea.Ila...
11 Reactions
72 Replies
8K Views
neno tayari ktk uhusiano maana yake ni kwamba mtu amejiandaa na yuko tayari kuingia ktk uhusiano hasa ule wa muda mrefu na mara nyingi husema mtu yuko tayari akiwa ameshakamilisha kujiandaa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ni kweli matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa,kwasababu watu wengi wanaochart kwenye facebook ni wanausisha zaidi mapenzi na sio kingine pia inawafanya watu wanakuwa so free kusema chochote...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
jamani mi ninachoamini ni kuwa Mungu kaumba vitu kwa mfano wake, pia kaumba vitu ili mwanadamu atumie na kufurahia. ila katika suala zima la mapenz sijui nini kinatokea na ndo maana naomba msaada...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam aleykhum Tumsifu Yesu Kristu Habari zenu Mabibi na Mabwana.... Its me again mchungaji wenu, today I will talk on sexercise....haloow....Im sure most of you you're aware of many benefits...
14 Reactions
114 Replies
8K Views
Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna mama mmoja ana watoto wawili mmoja ni mdada na mkaka Yule dada kaolewa na ana watoto na yule kka ameoa anaa watoto kama kawaida kuna tofauti ya mshiko yaani mme wa yule dada anamshiko kuliko...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sina budi kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo . Leo ni anniversary yangu ya ndoa 4 years ...nina furaha sana juu ya jambo hili jema kwangu Pia kukaa na mwenza mbali ni...
25 Reactions
120 Replies
7K Views
Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.
10 Reactions
40 Replies
5K Views
HI MEMBERS, kuna hii kitu eti mtu akinywa pombe (beer or whisky) na akienda ulingoni, basi yeye atasukuma kabumbu balaa na hata kuwa na mapepe ya kufunga goli mapema. ni kukaba mwanzo mwisho na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
kwa mtazamo wangu wivu unasababishwa na upendo wa kweli na wa dhati uliokuwa nao kwa mpz wako.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Wakuu, mungu ni wa ajabu tena sana na sema wa AJABU, nimekutana na jamaa yangu mmoja analia, kumuuliza kaniambia simple and understoodable words.... magu Mungu asingetufanya tuwe tunasahau kila...
0 Reactions
67 Replies
5K Views
Moyo ulojeruhiwa, kuponywa kwake ni kazi, Hasa ulodhulumiwa, kutwa hujaa majonzi, Ule ulosalitiwa, hutiririka machozi, Moyo ukijeruhiwa, huponywa kwa dawa gani? Moyo ulojeruhiwa, daima huwa na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom