Hivi kwa nini ukiwa kwenye mahusiano na mwanamke
au ndoa....halafu siku moja mwanamke akakwambia 'fulani ananitongoza'
hivi maana yake hasa ni nini??????
Kwa nini wanaume wengi wakiambiwa...
Go placidly amid the noise and haste and remember what peace there may be in silence.
As far as possible,withought surrender be in good terms with all person,speak your truth quitely and...
wachumba wawili, raia wa marekani wamepigana busu kwa mara ya kwanza tangu walipoanza uhusiano wao miaka mitatu iliyopita. Busu hilo lilipigwa kanisani mbele ya Mchungaji na kuutangazia umma rasmi...
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo
Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi...
Celebrate Fathers Day by honoring your father by presenting gifts like cards, flowers, chocolates and neckties.
Dads often admires a handmade gift.
For those who themselves are fathers, the...
Ndugu zangu wana JF
Leo nina kitu nataka tujadiliane
Maofisini au makazini tunafahamiana na watu wa aina mbalimbali, kuanzia makabila, dini, matabaka, mpaka tabia. Na hata mashuleni na mavyuoni...
ni mwezi wa nne tangu niliempenda abadilike na kunitamkia kwamba hana plan yakufunga ndoa na mm tena.ila kinachonipa mawazo nipale nnapokua namuwaza kila siku nakumkumbuka kupita kiasi.pia upande...
Dear my Fellow JF Members
Of all the endeavors you can pursue, dating can be one of the most enjoyable. It's entertaining, it provides companionship, and it can lead to lasting love and...
Mitindo ya mavazi ni mingi mno kwa wanawake, na wanapeyapenda haswaaaa! Ninachoomba kuwauliza wana MMU hapa JF ni je wanatumia kigezo gani kuchagua mavazi? Mfano ni viatu virefu sana kwa madada...
Kwanza nawapongeza wababa wote kwa mchango wao mkubwa katika kuleta watoto duniani, kuwapenda wake zao au kuwajali mama wa watoto wao na watoto na pia kubeba majukumu yao.HONGERENI SANA KWA SIKU...
kuna mzee mmoja mkware alikuwa anajiiba kwa mama mmoja jirani na anapoishi na familia yake, kama umbali wa kilometre moja kutoka nyumbani kwake.
huyo mzee alikutana na huyo mama maeneo tofauti na...
Why women should ask men out much more often
Saturday, 18 June 2011 09:35
digg
Women are always complaining about not being able to find a good man, or only being approached by jerks. I...
Mambo vipi watanzania wenzangu nadunia kwaujumla mimi ninaswali kwa dunia nzima atakae guswa tushirikiane.Je nivizuri kusikia kwamba matamasha au mashindano makubwa kama ya umiss utalii kua...
:A S 12:
For both ladies and gents, no exception nor excuse,
Yes, that is the principle, the more you give tirelesly, the more you receive....
Vise verse of it has proved failure...
Hivi ni kweli, mtu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, anadiriki kumwambia ampendaye hawezi kuongea pumba kwasababu anamwogopa, lkn kwa wengine anaongea pumba!
Habari za jmosi wakuu ,kuna kitu kinaniudhi sana linapokuja swala zima la kulalamia, unakuwa na rafiki yako best friend, anakuwa mlalamishi kwa kila kitu, ukinunua kiatu atakwambia mbona...
ni aki kwasababu cha mpz wako chako na cha kwako chake,mbali na ivyo ni inaonyesha uaminifu lakini kama mmoja apendi basi yy ni msaliti,pia inakupa uhuru kwake na kwako.
Habari wana jamvi,hope wkend inakwenda fresh.
Mimi sio mpenzi wa bongo flava kivile ila kuna wimbo nimeusia "NILIPE NISEPE" kwakweli huyu dogo amejitahidi kuwakilisha one of tabia za watu ambazo...
Je, Utakubali?
Fikiria wewe ni binti (au mzazi wa binti) ambaye unataka kuolewa na mwanaume ambaye hajasoma (illiterate) utakubali?
Ni kweli elimu ni kitu kizuri hata hivyo elimu si kigezo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.