Habari zenu wanaMMU.,
Jamani, mi mwenzenu wiki ijayo ntakuwa na blind date. Huyu shemeji yenu nilimjulia thru rafiki yangu ambaye ni best frnd wake (mutual friend wetu) n since then we've been...
Habari wana jamvi.
Nisaidieni hili jamani, hivi inakuwaje mtu anamuonea wivu ex wake?
Hii nimeiona etremely kwa rafiki ya ngu mmoja wa kiume ambaye ni muda kitambo alimwacha msichana wake tena...
Habari wadau wa JF!
Hivi jamani,bila kupiga porojo za uongo na kweli kwa mwanamke,unaweza kumpata kiurahisi kweli bila kupigwa calendar?
Maana hawa dada zetu wanadai sisi wanaume ni waongo...
Habarini wana JF, Majuma kama matatu yaliyopita dadaangu ambaye ni mtoto wa rafiki mkubwa wa mama yangu mzazi alifanya jaribio la kumuua mtoto wake wa kumzaa. Tatizo ni kwamba alipata ujauzito...
Sababu kuu za babu zetu kuishi maisha marefu ni pamoja na hizi hapa
Ndoa za mitaala (wake zaidi ya mmoja)
Babu zetu walioa wake wengi ili kupunguza msongo wa mawazo ambao hufupisha urefu wa...
Eti kati ya mwanamke na mwanaume walio ndani ya ndoa ni yupi akiwa na mpenzi nje ya ndoa (hawara) huwa anakuwa na dharau sana ndani ya nyumba na kwanini??????????
Wadau salam,
Kusema kweli bila kuuma maneno nimetokea kumpenda sana huyu binti ila sijui hata namna ya kukutana nae ili nimwambie kilichopo moyoni mwangu, kama atakuwepo mtu hapa JF akafanikisha...
Inaonyesha kuwa ndoa nyingi za siku hizi hazidumu kwasababu ya umasikini ambao unapelekea ndoa nyingi kuvunjika .je hiyo ni sababu ya mzingi inayopelekea kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa jamii ya sasa ?
kiukweli nashindwa kuelewa jambo hl,kuwa wanandoa mnaishije kwenye ndoa bila Yesu?sasa si mtaishi kutoana ngeu humo ndani?na kwenda jehanamu kwenye moto wa milele?okokeni vijana wenzangu,kwa YESU...
MKAZI wa kijiji cha Ubinga kata ya Mhugi, Tabora, Bundala Mwandu (26) amejinyonga baada ya walezi wake kumkataza kuoa mke wa pili.
Akithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo, Mkuu wa Polisi wa...
Anataka Tuangalie Mkanda!
Kaka didy habari za siku!Nina swali ambalo naomba msaada kwani najikuta nipo njia panda na swali lenyewe ni kama ifuatavyo.Mume wangu anataka tununue mkanda wa...
Kumlinda Mr. Happy
Afya ya mwanaume ni kitu muhimu sana na ni kitu kizuri.Je, umewahi kusikia usemi kwamba mwanaume mwenye afya ni yule ambaye anaweza kusimamisha uume wake bila matatizo?Hii ina...
Ni Uamuzi wako
Ikitokea mchanga ukaingia kwenye jicho basi jicho litauma na kama halitatafutiwa ufumbuzi basi jicho linaweza kupoteza uwezo wa kuona na unaweza kuwa kipofu.Hata hivyo huo mchanga...
Muhimu sana Kufahamu!
KWA WANAWAKE TU:Nini cha kutarajia kutoka kwa mpenzi wako mkiwa na faragha chumbani kwenu?MOJAHaijalishi ni handsome kiasi gani au msomi kiasi gani hadi anaitwa Dr. au...
Kufika huko!
Wapo wanawake wambao huamini suala la kufika kileleni (orgasm) huja automatically bila juhudi yoyote. Ingawa kwa mwanaume suala la kufika kileleni ni tofauti na sidhani kama kuna...
Naweza Kunywa?
Je, sex inaweza ujisikie mwenye raha?Jibu ni ndiyo au hapana. Tafiti nyingi zinaonesha kwamba sex huweza kuponyesha baadhi ya misongo ya mawazo (mild depression). Wakati wa sex...
Moto unazima!
Mimi ni mwanaume nipo kwenye ndoa sasa mwaka wa 3 excitement ya mapenzi inazidi kufifia na naogopa tunakoelekea kunaonesha kagiza kimapenzi.Je, unanishauri vipi niweze kurudisha...
Wako ni wa aina gani?
Mara nyingi kuna usemi kwamba kwa mwanaume kawaida ana kitu kimoja tu ambacho kinaweza kumfanya apate hamu ya kufanya mapenzi nacho ni kitu chochote. Najua hujanielewa...
Mwenzenu mume wangu cha wote, kitu iliyopelekea mimi kumchukia na kutotamani wala kufurahia chakula cha usiku kutoka kwake kwa muda wa miaka miwili, sasa katika pitapita zangu nikakutana na my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.