Jamani nimekumiss ile mbaya, umbali is a big problem. Next week ntakuja huko, ntakukuta.
Mateso yanayonikabili sasa ni kwamba naona next week ni mbali na siku haziendi kabisa, natamani ziruke...
Huwa nashindwa jua ni kipi hasa mtu atajiona anafurahia ndoa yake kati ya hivi na kujiona kaoa au kaolewa
upate baraka za watumishi wa mungu islam na ukristo (sijui kwa wapagani)
upate cheti cha...
YAANI KWAMBA....!
binti anamuintroduce rafikiye kwa mchumba wake (ambaye tayari wanaahadi za kuoana na pete za uchumba washavishana)....
katika mazingira ya kustaajabisha sana huyo mwanaume...
Mimi napata kizungu mkuti kidogo hapa,
hii LIKE ni sawa na LOVE maana nashindwa kuyaweka katika kiswahili kizuri
hata hapa jamvini ukimgongea mtu ka like kuna alama ya moyo yanaani sweatheart...
hapa mtaanii kwetu nina rafiki kaamia mwaka jana sasa, kufika katika ofisi anayo fanyia kazi kukawa binti mmoja akavutiwa nae hivo kuanza uchumba sasa wakafika katika hatua ya kuoana binti ni...
Ukistaajabu ya Mussa...ya firauni! Ni uhusiano mbovu ulioleta jambo la ajabu kutokea bt ndio ukweli wenyewe huo na imetokea Iringa, mpaka niandikapo thread hii nipo iringa na hili ndio gumzo la...
First, it was war with bar maids, Housewives once lived in eternal fear of the habitually half-dressed young ladies at the services of their thirsty husbands in bars found almost everywhere in Dar...
jamani ukweli ni maisha ni mapenzi, na mapenzi ni maisha,huwezi kua normal human kama hujaingia hapa. lakin kila kitu kina furaha yake na matatizo. if ww umekua always happy...
MKAZI wa kijiji cha Ubinga kata ya Mhugi, Tabora, Bundala Mwandu (26) amejinyonga baada ya walezi wake kumkataza kuoa mke wa pili.
Akithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo, Mkuu wa Polisi wa...
Una mpenzi wako mmependana kwa kipindi cha muda wa kutosha ( miezi 9).Mnapendana sana ( amekuhakikishia anakupenda sana). Mnaongea kwa simu, sms, na kila aina ya mawasiliano kila siku.Inafika siku...
Source: Times.com
When it comes to preventing pregnancy, the burden falls largely on women. But that responsibility could soon shift, according to new research from Columbia University that raises...
MKAZI wa kijiji cha Ubinga kata ya Mhugi, Tabora, Bundala Mwandu (26) amejinyonga baada ya walezi wake kumkataza kuoa mke wa pili.
Akithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo, Mkuu wa Polisi...
HELLO GUYS!! WAPENDANAO....IT depends how you classify wapendanao. from my side its almost what beautiful things you can do to strangers!! now thats proper kupendana, sivyo?? haya haya sasa...
Mambo ni aje wana JF!!!
Zamani wakati nakua na kujua Mapenzi nilidhani Wanaume peke yetu ndo ving'ang'anizi hata binti akikuambia hakutaki unakomaa nae hadi kieleweke lakini siku hizi Mabinti ni...
Enzi fulani - early 80s I think though I could be wrong - kulikuwa na maneno mawili maarufu yafuatayo (naweka na maana yake) yakitumika kuelezea wasifu wa mtu:
1. Manzi = Msichana decent
2. Fox =...
naomba ushauri jamani.. nahis niko un lucky kwenye mapenzi,, nimempenda mtu ambae hatuja wahi kukutana ktk maisha yangu ,,tumejuana kwa kiasi kikubwa kumtatlulia problem zake...
Ndugu zangu naombeni msaada kwenye kisa hiki cha kweli . nina mke tuliyefunga ndoa yapata miaka 11 iliyopita, mke wangu tulikutana kazini kwenye kiwanda cha kutengeneza biscuits ambapo yeye...
Ukistaajabu ya Mussa...ya firauni! Ni jambo la ajabu bt ndio ukweli wenyewe huo na imetokea Iringa, mpaka niandikapo thread hii nipo iringa na hili ndio gumzo la mtaani.. Mume, mwalimu wa shule ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.