Hivi kweli unajua maana yake zawadi ya maua?
One Rose for Unconditional Love
One Rose For Financial Wealth
One for Everlasting Happiness
Several for Success
One for...
Kawaida huwezi kumpa kila mwanaume treatment za mume wakati bado ni mchumba tu.
Vijana wengi leo wanapochumbiana au kutafuta urafiki wa kawaida katika ya kaka na dada (dating) wengi hawajajua...
Hapo zamani hasa katika desturi na mitazamo ya mila za kiafrika, mwanamke aliyeolewa akiwa mnene alipongezwa kwa kupata mume tajiri na pia kama hajaolewa wanaume walimpapatikia kwa kuwa ana dalili...
Fikiria wewe ni binti mwenye sifa zote za kuolewa (excellent marriage material) na umri wako ni sahihi kuolewa, umempata kijana wa kiume mwenye sifa zote za kuoana na wewe.
Anakujali kwa kila kitu...
Habari zenu wana JF, Naomba kuwaulizeni, iwapo umemfumania mkeo/ mumeo na ni mara ya kwanza ni hatua gani nzuri unatakiwa kuichukua. Ni kupokea fidia kutoka kwa MGONI kisha maisha yaende kama...
Habari zenu wana jamiifulani,
Katika mapenzi na mahusiano nimekuwa nikisikia manung'uniko ya chini chini wapenzi wengine wanapokua wanaenda kutalii Mlima Kilimanjaro hawawafikishi wenzao kule...
Jf,
Eti kwa utashi wako, we unadhani ni nini kinaendesha dunia??
mapenziii?? hela??, siasa?? au ni nini??
Kiukweli kwa utashi wangu me naona ni hela.
generally kwa sababau hela inaingilia...
An inspiration To JF/GT from Asha D with Love….
Mwanadamu yeyote huzaliwa, huishi, hutaabika/hunufaika na hatimae hufariki.
Kitutofautishacho kila mmoja na mwingine ni ndoto...
Wapendwa, nimeipenda sana hii story, japo ni ndefu kidogo kama sio mvivu wa kusoma waweza isoma.
Love in a time of torture - Features - Al Jazeera English
Habari wana JF,
Siku hizi, japo kuna imani za kidini kuna wanaoamini kuwa ni vigumu kufunga pingu za maisha bila kuonja tamu ya asali. Siku zote Mimi nimekuwa miongoni mwa wanaopingana na huu...
nimegundua hili ni tatizo la wanawake wengi,wanakuwa kwenye mahusiano kimachale machale saa yoyote mumewe anaweza kuwa na nyumba ndogo.....hofu hii imepelekea kuwafanya kuwa watumwa wa ndoa...
"Could I Have This Kiss Forever"
Over and over I look in your eyes
You are all I desire, you have captured me
I want to hold you, I want to be close to you
I never want to let go
I wish that...
Kama asubuhi hii ofisini kwako kuna mwanamke (hata kama mke wa mtu), ambaye bado hujaonana naye, ukionana naye, katika salamu changanya na neo "umependeza sana". I mean kwa mfano 'Mambo...
je wewe ni kijana ambae umefikia umri wa kuoa?. Kama jibu ni ndio kabla hauja chagua mchumba, zinga tia mambo ya fuatayo.
1.kabla ya kuoa, unatakiwa uwe na shughuli yoyote halali, ambayo itakua...
wiki kama mbili kulikuwa na habari kuwa kabinti kamekutwa kakibaka kavulana sasa hii nayo kali kasichana kamoja kama ilivyo elezwa na mtoa mada kuwa kalikuwa kanapenda kuzungumzia sana habari za...
Bila shaka madreva wa Iringa na wengine mliowahi kupita tu mjini hapa mtakubaliana na mimi kuwa watembea kwa miguu tunavitumia vibaya vivuko vyetu, utakuta wa wanapita taratiibu wengine hadi...
Ryan Giggs's brother Rhodri has reportedly considered trying to save his marriage to wife Natasha, following revelations about her affair with the Manchester United star.
It has been claimed that...
Please...
1).Can you bleed for a week and survive?
2).Can you squeeze 14 inch baby from a 9 centimeter hole?
3).Can you carry a 7 pound baby in your stomach for 9 months?
4).Can you take care of a...
Habari kwa mpigo ma greater thinker...nisiwachoshe,nihivi nyie kwenu mme bahatika kuzaliwa vijana wawili,we ndo mdogo.mkubwa wako bado anakaa karibu na home na wewe kutokana na miangaiko ya dunia...
Bandugum
Poleni na maumivu ya bajeti, hasa kwa siye wanywaji...:A S embarassed:
yangu ni mafupi tu
Kama umecheat kwenye relationship, unaweza kuwa na guts za kumwambia mwenzio kwamba nimecheat...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.