According to the statistics below----- You were born way to early.
1970's : Love me, but don't touch me.
1980's : Touch me, but don't kiss me.
1990's : Kiss me, but don't do anything more...
Ndugu wanajamvi, napenda kuwashindikiza kwenye wikiendi na maombi ninayo oomba kila kuchao!!!!"Ewe Mwenyezi Mungu niepushe na Mali nyingi", kwanini nasema hivi, kwa sasa kipato changu nashkuru si...
Wadau..
Nipo mbioni kutafuta msichana ambaye kama mambo yakienda vizuri tufunge naye pingu za maisha.
Kuna vigezo vichache ninavyo ila naombeni munisaidie kujua kama aina ya kabila nalo ni jambo...
Hivi inamaanisha nini kwa mwanamke kukataa kutumia jina la Mume wake baada ya kuolewa na kuendelea kutumia jina la baba yake (maiden father)? Kuna wanawake wengine hung'ang'ania baada tu ya...
Nafanya utafiti na muda si mrefu nitatoa matokeo. Ushahidi wa awali unaonesha kuwa wasichana wakiwa na ma-boyfriends huwa hawajali urembo wao na kujitunza sababu hawana wasiwasi. Lakini inapotokea...
PENGINE UMEKUWA UKITESEKA SANA SANA KUHUSU UZAO WAKO,..LEO LIPO JIBU TOKA KWA MUNGU\WATU WENGI WAMEKUWA WAKITESEKA NA SHETAN AMEJUA MBINU KUBWA KUISAMBARATISHA NDOA ZA WANAOMPENDA YESU WALIOKOKA...
JUNRAY BARAWING kutoka UFILIPINO jana alitawazwa na wataalamu wa kile kitabu cha kuweka kumbukumbu za maajabu Duniani cha 'GUINNESS' kwamba kwasasa ndie mtu mfupi kuliko watu wote wanaoishi...
Habari zenu wana jf,naamini mpaka unasoma post hii basi upo fine.
Leo nimekuja na haka katopic,kuhusu kuvaa apron wakati wa mapishi.Minafikiri mapishi sio apron ni issue ya mpishi mwenyewe.Nasio...
Hata kama mlikuwa mkimegana kila siku b4 ndoa. Siku ya harusi wote mnakuwa na mihemko na hamu ya ajabu kunjunji na mkeo.
Je utafanyeje ikiwa umeisubiri kwa hamu usiku uingie ili ufaidi uhondo na...
...kwa sisi manunda ambao tunaoamini kila mtu anastahiki nafasi nyingine ya kupenda na kupendwa, tunapaswa kukumbushana.
- 'it's not what you know, it's what you "believe" to be true that...
takiribin mwez wa 3 sasa kuna mtu nampenda kutoka moyoni klila cku anaishia kunitext mara hi, gd9t, thinking of u, n.k na me huwa najtahd kujibu text zake kulingana na alichonitext, japo roho...
Amani ya Mungu iwe juu yenu.
nina rafiki yangu aliniomba ushauri nikaona ni vyema niwashirikishe tushirikiane mawazo.
Huyu rafiki yangu (msichana) ana urafiki wa kawaida na wakaka wawili,hao...
Wapendwa nimeshuhudia kitchen party sijui ndo send off ya mmama mtu mzima sana na hii ilikuwa ni ndoa ya tatu kwake ,hivi hizi send off ni binti anayeolewa kwa mara ya kwanza tu au hata kwa jimama...
.... ndo mwisho wa kua na marafiki wa jinsia tofauti???
Nauliza kwasababu naona watu hua wanalaani sana msichana mwenye rafiki mwanaume aliyeoa au msichana aliyeolewa akiwa na rafiki...
JAMANI WANA JF HABARI,
Mimi nafanya kazi kwenye taasisi moja kubwa tuu na mshahara wangu mzuri tuu najimudu vyema. Wakati naanza kazi nikakutana na mdada mmoja ambaye alitokea kunipenda ghafla...
Wawe na elimu au la, wengi wa wanawake tena wengine wameolewa walio kwenye age 16-28 MCHARUKO yaani hawajatulia hasa wa mijini, hata wakiwa na kazi au wawe wanafunzi or at home, kumbuka wengi...
kuna jamaa mbeya namjua vyema
aligonganisha akawaacha madem
akawaambia"mi natoka anaejiona anastahili
kuwa na mm jioni nikirudi nimkute
kapika,kafua na kunyosha nguo"alivyorudi
jioni akakuta...
YouTube - ‪Ruben Studdard - Together Video‬‏
Nilisafiri kwa muda wa siku 4 nje ya jiji nikamtumia rafiki yangu wa kike wimbo huu.
wakuu niliondoka wakati tukiwa tumeshindwa...
Ni kama utani vile lakini naamini siku moja utakuja kuthibitisha maneno yangu kama utapata jirani ambaye ni mngoni. Jamaa wanatisha kwa kuchakachua wake za watu, Kama huwajui ukipata jirani mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.