Wana jamii, heshima yenu habari za siku maana nilikuwa jela ndio nimerudi,
kuna jambo hapa linanitatiza hasa katika mambo ya ndoa na mahusiano
inaeleweka kabisa katika mapenzi/mahusiano mwanammke...
Wakuu embu tujadili huu msemo, kuna mdada wa makamo alikuwa anasumulia jinsi alivyotoka mbali na
Mumewe, na jinsi alivyoteswa na huyo mume kiasi cha kuondoka home kwa mda wa mwaka na kwenda...
Inakuaje wana mi niko poa naamini na ninyi mko safi na Mungu ashukuriwe kwa hilo.
Ishu ni kuwa kuna mkaka aliyekuwa shemej yangu kwa ndugu yangu ila kwa bahati mbaya wameachana siku za ivi...
Wakati mwingine ni vigumu sana kwa wanawake kufahamu ni kiasi gani hamu ya kufanya mapenzi ilivyo kwa mwanaume.Ingawa wanaume hutofautiana katika kiwango cha hamu ya mapenzi bado wanaume...
JF,
Jamani me katika maisha ya mapenzi ni megndua kitu.
mara nyingi mwanamke akitongozwa alaf akakataa hua anaonekana
kama ametulia na ni mwadilif, lakini mwanaume akitongozwa na
mwanamke(kitu...
Naomba kuwakilisha swali langu kwenu ili nipate ufafanuzi,
Hivi ni muda upi mwanaume unatakiwa uwe umaliza kupanda mlima,kwa kuwa kuna msemo usemao ukimaliza kabla y dk fulani wewe si mzima?
je...
kuna binti ambaye mimi nampenda sana tangia nipo A-Level 2007/2009 tena tulikuwa na malengo ya kuishi pamoja,, kimsingi i do love her up to now but thing make unbelievable is that once i do...
Nipo kwenye daladala kuna mama anaongea na simu. Inaonyesha kazaa na wanaume watatu tofauti na huyu mwanaume wa mwisho inaonekana hatoi matunzo kwa mtoto wake. Sasa katika maongezi ya simu huyo...
Inasikitisha hata kusimulia coz imezoeleka wanaume ndio wamekuwa wakiwafanyia watoto wakike vibaya sasa huyu mama amebainika alikua akimlazimisha mtoto wa miaka 9 amnyonye sehemu za siri au kama...
Hbr za mchana wapendwa!
Jana ktk story na wafanyakazi wenzagu tulipewa story ifuatayo na mkaka mmoja:
Ni mfanya kazi mwenzetu ila alikuwa na katabia ka kutembea nje ya ndoa yake miezi...
Wakati fulani anazidiwa wakaati mi nakuwa bado. Anatumia muda mwingi kunihoji ni kwa nini nakuwa hivyo nashindwa kuwa na jibu. Vyakula ninavyotumia ni vya kawaida. Nifanyeje ili niende naye sambamba?
am aged 26, nafikiria kuoa sasa,kwa wengi hona kama bado mapema kwa umri huu,lakini kwa mie nilishajiwekea nadhiri ya kwamba nikishamaliza masomo na kupata tu ajiri kifuatacho i kuoa pasipo kujali...
Muda Maalumu!
Ndoa ni muunganiko (alliance) ambao binadamu hukutana nao na ni muungano muhimu na tofauti kuliko muungano wowote duniani.
Ni muungano muhimu kimwili, kiroho, kiakili na kifedha na...
Mimi na mume wangu tuna maisha mazuri sana hasa linapokuja suala la sex. Hata hivyo siku nikiwa nimemtamani sana mume wangu (horny day) tukiwa kwenye sex hasa ninapofika kileleni huwa najisikia...
Darasa lipo "Empty"
Kaka pole na kazi, mimi ni mwanamke ambaye nimedumu kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa na nahisi kitu kisicho cha kawaida kwani tunapokuwa kwenye tendo la ndoa najisikia safi tu ila...
Mara nyingi wanawake huwacheka sana wanaume ambao visamaki vyao ni vidogo sana kwa kuwatania kwamba hata ukikohoa tu wakati wapo sita kwa sita kanachomoka, wakati huohuo wanaume nao huwacheka...
Imezoeleka watu wanapokuwa wanatafuta wenza/wapenzi kutoa sifa za wanaemtaka kama vile;awe sijui mweupe,sijui mrefu,sijui mweusi,awe na elimu fulani mara sijui nini utafikiri anatafuta mtu wa...
Jamani kama nimekosea nakubaliana kukosolewa, kwa muda mfupi niliokaa kwenye jamvi ili, naona topic zinazohusu mapenzi mahusiano na urafiki ziko juu kwa maana ya views even replies, pia Thread...
Wakati dunia nzima inaungana kuhakikisha mwanamke anapata haki zote na kupewa kipau mbele katika masuala ya msingi ya maendeleo wapo wanawake wachache ambao huchanganya mambo kwenye ndoa zao.
Ni...
Kuwa mkweli na muwazi ni moja ya misingi ya kujenga mahusiano yanayodumu na hata kukabiliana na dhoruba mbalimbali za maisha ya mahusiano ya ndoa.
Swali kubwa ambao wengi hujiuliza, wanaume kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.