kutokuwa na uaminifu ktk ndoa au wapenzi ni janga la dunia hususani kwa wale walio ktk ndoa.lakini hivi ni kweli haya hufanywa kwa bahati mbaya?au ni shetani tu kama wengi wanavyodai?
Ndugu wanaJF tumekuwa tukiishi katika jamii tofautitofauti za KiTaNzania na kushuhudia mambo mengi mabaya na mazuri tukajitahidi kuyakemea yale mabaya kwamanufaa yakuwa na jamii yenye maadili...
Ndoa nitakatifu na ilianzishwa na Mungu na unapoamua kuoa au kuolewa ni kuwa umeamua kuishi na mwenzi wako kwa hali na mali
kwenye shida na raha.kudumisha ndoa vitu muhimu vinahitajika
1 Busara...
ha bari za wikiend JF!
Jamani mimi mwanzoni nilidhani/nilichukulia kua uchumi ndio kigezo kikubwa cha
kuahakikisha nimefaulu kabla ya kuoa. Yaani, angalau hata kama sio kujenga au
kua na mahela...
Leo asubuhi nimepata habari za kusikitisha sana kuwa Fr Isidory Nyonzo wa kanisa kuu la Morogoro amefariki dunia na kuzikwa jana. Nimesikitika sana kwani ameondoka kabla sijatimiza ahadi yangu ya...
Uzuri wa mtandao wa JF bwana ni ushauri mtu unaoweza kuupata.
Ushauri tu unaweza okoa maisha ya mtu.
Mimi ni mgeni sana JF lakini si mgeni wa maisha.
Nimepitia ukurasa huu ma mimi ninatizo linalo...
Hiki kisa ni cha kweli na cha kusikitisha.
Ni asubuhi njema ,mipango ya harusi imekamilika na siku imewadia.Hawa(Mke na Mume) wanajiandaa kuelekea kanisani,kwa lengo la kufunga ndoa(au kubariki...
nilikuwa na mpenzi wangu tangia niasoma kidato cha sita, hadi leo nipochuo kikuu dodoma mwaka wa pili tena nilimpenda sana lakini kuna kama siku tatu zimepita tangua aliponitamkia kuwa MIPANGO SI...
Asubuhi ya leo, nikiwa nimejilaza kitandani mchovu wa kuamka kiasi flani sitamani hata kwenda church, nausikia wimbo wa Mb-dog (Latifa) ukichezwa ktk station moja hv ya Radio... Napata picha...
A friend is someone who reaches
for your hand and touches your heart and
Friendship is like Golden thread that binds two hearts...
I wish you happiness,laughter, peace and love..
Have a blessed...
Hii ni kwa wote tunaotumia hili jukwaa!Hivi kwa mfano akatokea mtu mmoja kule Chile anajua kiswahili vizuri,akafungua JF na kuja hapa kwenye jukwaa hili,hizi mada zote zilizoko humu zinaendana na...
Hello Guys, How is your weekend? hope mpo poa kabisa. My Question is hivi ni nini maana ya open relationship and does it real work? kuna Rafiki yanguu alimuaproach msichana yule msichana akasema...
Poleni kwa majukumu mimi ni swali ta ufahamu kidogo
Una mchumba amabye mnategemea kufunga pingu za maisha mnaaminiana na mnapendana
mmeshamaliza kila kitu kilichobakia ni maaandalizi ya ndoa
je...
Katika pita za kazi unakutana na msichana mnakuwa marafiki wa kawaida mnaendelea kidogo,unaona huyu dada anasubiri
umtamkie kitu kuwa nakupenda sababu anavyokufanyia inaonyesha wewe una mtu tayari...
Juzi nilikuwa nasikiliza huu mwimbo mpya wa lady jd and Mr.Blue, nilishawahi kupenda!! Nyimbo hii ilinigusa sana and nikajiuliza kama kuna binadamu hapa tanzania/duniani above the age of 25...
Hi 2 u all, Experience is the best thing, wakati unaanza tongozo kwa mara ya kwanza kwa mwanamke yeyote, tarajia jibu la NO, Kama mwanaume usikate tamaa wala kuonyesha pressure saana, then mwache...
habari zanyu waungwana!!! Wajameni leo nimefikiria kuhusu hawa dada zetu jinsi wanavo jitahidi kujipamba full madicoration, make-up za kufa mtu. Mawigi ya hatari, wengine wanajipiga hadi sindano...
Girl: Will you remember me in an hour?
Guy: yes
Girl: a day?
Guy: yes
Girl: a year?
Guy: yes
Girl: Eternity?
Guy: yes
Girl: Knock knock
Guy: who's there?
Girl: i thought you said youd remember me....
Mara nyingine inachukuliwa kimzaha lakini ina ukweli. Sio wote lakini zaidi ya asilimia 75 ya wanawake wenye majina yafuatayo wana tabia zifuatazo (nataja wachache)
Rose - viongozi, wanapenda...
Habari zenu wanaJF. Wife leo kapigiwa simu, unajua mambo ya wivu nikauliza aliyepiga simu ni nani ? Akasema kwa kuwa nataka kujua aliyepiga simu tubadilishane simu (pamoja na line zake) yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.