I hope wote ni wazima na weekend inaenda vizuri.
Nina swali la uzushi tu na pia unaweza ukadhani sio la msingi.
Unajisikiaje na utafanyaje au kuchukua hatua gani pale unapochat na mpenzi...
ni gani wakuu? how is the weekend going so far? Hope everything is allright. Hebu tell me, what is the craziest thing you ever done in your love relationship?
mmh jamani dunian watachomwa watu
jana nilikuwa nimeenda kumwacha b mkubwa sehemu ya kitchen party uko mbezi
wakati wa kumchukua wakawa bado kidogo ila ukumbi ulikuwa mzuri
wa vioo na jamaa...
Kuna rafiki yangu mmoja anafanya kazi nje ya nchi, ana mchumba wake wanataka kufunga ndoa mwaka huu
mchumbake yupo bongo anafanya kazi.Huyu jamaa hii kazi inamlipa sio mbaya ila ni ya mkataba...
jana nlituma thread ya fumanizi kati ya my blood brother na mke wangu.
But bad enough hata ma x gal wangu wawili nshawahi kuwafumania na watu wangu wa karibu. Nahisi nina matatizo ya kungoneka...
wasina wengi wanaona kitendo cha kumjali au kumsaidia mpz wake ni kumuonga,mfano umetoka na mpz wako then ww msichana ukatoa uduma ya kila k2 kama chakula,vinywaji,even chumba then baada ya apo...
Si lazima iwe kweli lakini inaonekana zaidi kwamba Couples wengi wanapendana kwa viwango vinavyotofautiana. Hata kama wote wanakiri kupendana kwa dhati namna gani, bado ni ngumu kuthibitisha...
Juzi rafiki yangu ambaye ni mfanyabiashara mkoani Tabora yalimkuta yafuatayo katika hali isiyo ya kawaida na hakutegemea kama mkewe mpendwa angemfanyia hayo. Akinisimilia alisema; kama ilivyo...
A good investment or just a tool to attract hot dates? Men who buy flashy sports cars might be more successful at getting a date, but women do not see them as good marriage material, a study...
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha...
Poleni kwa majukumu ya kila siku
Kuna rafiki yangu mmoja ni wa kike ok alikuwa Gf wangu zamani alikuwa chuoni nikabainisha kuwa alikuwa na mahusiano
na mtu mwingine nikaona huu ni utumbo wa bata...
haya mambo yapo na thread kibao zinazungumzia hizi mambo...jamii imebadilika..anyway mimi huwa ni observer tu wa mambo mbali mbali...ila ya leo kali maana kama ulikua hujui ndo ujue kwamba lile...
Kubebana!
Kwa nini jamii nyingi za vijana wa leo huchukua uamuzi wa kuanza kuishi pamoja kinyumba kabla ya kuoana rasmi na ndipo kuanza maisha?Wengi hutoa sababu nyingi mojawapo ni kuokoa fedha...
Wana wawili kijiweni walikuwa wanateta jambo, mmoja akionekana kukerwa na jambo furani, akaanza...
Mkuu leo ile ngozi imenigharimu sana, babake nikaenda kati hamna ukuta, pembeni kulia uterezi...
hii ki2,hii ki2,hii ki2.inafanya wa2 wanabadili dini,inafanya wa2 wajinyonge,inasabisha watoto wamitaani,ningekuwa na uwezo ningeiondoa. hii ki2,hii ki2 jamani inanini...
Katika hali halisi,inapotokea ukamtongoza msichana/mwanamke,kuna mawili,kukubaliwa au kukataliwa.Lakini kwa upande wa pili,msichana/mwanamke akikutaka kimapenzi kwa kukutamkia wazi wazi,kama...
Najua inatia uvivu kusoam posts ndefu kwenye MMU. Hata hivyo kutokana na unyeti wa lecture yenyewe, sitaweza kuifupisha zaidi ya hapo.
Tando la ubakaji au jingine lolote la kudhalilisha kijinsia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.